Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Kuna binti nilimpenda sana bahati mbaya Mungu akampenda zaidi anaitwa malula,so kwa ajili ya kumbukumbu nikaligeuza na kuwa lamalu
Aisee pole sana mkuu, ila ulibahatika kupewa mbunye hata mara moja au ulikuwa bado unafukuzia
 
Ha ha ha
 
Maelezo mbashara kabisa
 
ok, nitakitafuta
 
Mie nikiona hii I'd yako, namkumbuka character m1 ktk Korea Drama inayoitwa "Endless Love" alikua mke wa waziri mkuu, ila hustles zake humo ni balaaa, ndo alikua anatumia hili name "ironbutterfly"
Aisee
 
Nilikuwa na jina langu la Riyan nikafutiwa akaunti.

Nikabadilisha na kuitwa liyan.

Nalipenda jina la Riyan kiasi cha kupangilia majina ya watoto wangu kuwa

1.Ian
2.Ivan
3Riyan
Aisee hongera
 
Mkuu hapa kupata hiyo code shuguli tena
 
Jina nalipenda sana Lina maanasawa na jinalangu
Natamani liwepo kwenye ukoo wetu au nikipata mtoto inshallah
Mtakuwa mnaniita mama Aaliyah [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Kumbe bado single
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…