Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Hayaka ni jina la mwanafunzi nimpendaye sana, mfupi kuliko wote darasani lakini mjanja kuliko wote
 
Reactions: BAK

Kama nakufahamu vile.....lol!
 
KIMA MDOGO hl jina linanikumbusha nikiwa o level, nilikua nasoma shule 1 na kakayng kwakweli tulikua watundu vya kutosha mm nilikua kiranja hlf ni mwanafunzi bora mwenye akili vby sn bro yy zilikua hazipandi, ilikua ikifika LUNCH TIME IKIWA NI BONDO TUNASEPA KWNY MASHAMBA YA SHULE KUCHOMA MAHINDI sk 1 tukadakwa tukapelekwa kwa head master kwa kweli headmaster alikua ananipenda sn hatukuchapwa ila ALITUSIMAMISHA ASEMBLE NA KUWATANGAZIA WANAFUNZI KW BRO YY NI KIMA MKUBWA NA MM NI KIMA MDOGO WATUCHUNGE SN KWANI TUTAMALIZA MAHINDI YOTE. kwakweli linanikumbusha sn shule
 
Reactions: BAK
... balozi hapa. Kuna vichwa 8 katika Afrika Mashariki na kati: KichwaT (Tz), KichwaK (Kenya), KichwaU (Uganda), KichwaR (Rwanda), KichwaB (Burundi), KichwaC (DRC), KichwaZ (Zambia), KichwaM (Malawi).
 
Reactions: BAK
Bambanza ni jina la kiha la babu yangu, Asili ya jina ili ni eneo la castrida uko burundi. Baada ya wamisionar kumbatiza babu aliitwa francis lakin akamalzia bambanza ambalo ndo lake la mwanzo. So nami nimepewa majina yote jr.
 
Reactions: BAK
Hayaka ni jina la mwanafunzi nimpendaye sana, mfupi kuliko wote darasani lakini mjanja kuliko wote

Mhhhh! 🙂🙂...Kumbe we Mwalimu eeh! basi hakikisha Hayaka anafanya vizuri pia katika masomo yake asiishie kuwa mjanja tu 🙂🙂
 

lol! Kumbe wewe na braza wako ndio mlikuwa mnamaliza mahindi katika shamba la shule eeh! 🙂🙂
 

Hongera kumbe wahasibu nany mpo katika siasa? I hate CPA Coz siku hizi wanapeana kindugundugu
 
Reactions: BAK
Hili ni jina langu la utani ambalo nilipewa na marafiki zangu tukiwa darasa la sita na nilikuwa nalichukia ila kwa sasa Old is Gold
 
Reactions: BAK
measkron: ni kijiji kimoja wilayani Hanang, nilipozaliwa miaka hiyo, sipasahau as is the place i was born and enjoyed my childhood there!
 
Reactions: BAK
Kipindi cha nyuma nshawahi kuwa Dj kwenye sherehe mbali mbali Jijini Mbeya hivyo huwa sisahau kazi yangu ya awali.
 
Reactions: BAK
Mpayukaji linajieleza na kwa wasomaji wa magazeti wanajua vitu vyangu. Maana bila ya kupayukiwa wabongo hawatii akilini. Are we together? You kno what? I am Mpayukaji the father of Kapayukaji na the husband of Mbwataji.
 
Reactions: BAK
Kipindi cha nyuma nshawahi kuwa Dj kwenye sherehe mbali mbali Jijini Mbeya hivyo huwa sisahau kazi yangu ya awali.

Haya bana mtu wa debe...naona ulikuwa maarufu sana katika jiji la Mbeya na waalikwa hawakawii kukuzukia naomba niwekee nyimbo fulani 🙂

 
Last edited by a moderator:
Apollo na jina langu kabisa la kuzaliwa nalo....
 
Reactions: BAK
Obe jina halisi na popote ukienda ukijidai kuliita kwa kirefu humpati mwenye nalo
 
Reactions: BAK
yo yo ze burner hapa. I use to burn everything comes across. but its for good not for bad. the same to that in the coocker used to burn some cakes, burns, etc. hili jina mazee mi nilijikuta tu nimelitumia then ikabidi nilikubali tu.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…