Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

iSikhathi neno la kugha ya iSizulu lenye maana ya muda au wakati,...najarubu kukumbuka muda mwingi nilioupoteza katika maisha yangu ya kibaharia South Africa.
 
Codifier
Someone who do coding!
Coding mean to write computer software code.
Shortly *programmer*.
 
Sesten Zakazaka alikua ni Libero na beki kisiki wa timu ya Admark Tigers na timu ya Taifa ya Malawi miaka ya 80s akicheza pamija na kina Boniface Maganga, Clement Mkwalula, Dickson Mbetewa, Harry Waya, Laurance Waya, Jack Chamangwana, Kina Phiri, Young Chimodzi, Maloya Siriya kuwataja wachache
 
Sesten Zakazaka alikua ni Libero na beki kisiki wa timu ya Admark Tigers na timu ya Taifa ya Malawi miaka ya 80s akicheza pamija na kina Boniface Maganga, Clement Mkwalula, Dickson Mbetewa, Harry Waya, Laurance Waya, Jack Chamangwana, Kina Phiri, Young Chimodzi, Maloya Siriya kuwataja wachache
 
Reactions: BAK
Utakuwa mpenzi wa soka Mkuu.

 
Niite Alisina a.k.a Mbape a.k.a brother Rachid a.k.a ibn warraq a.k.a Bertrand Russell a.k.a Stephen hawking a.k.a Joshua foer a.k.a Eye hates God a.k.a Son of Lucifer a.k.a Son of nun a.k.a Archangel.

Alisina jina ambalo linamtaka mtu/binadamu awe open minded,freethinker,na ili kulitendea haki lazima uwe mdadisi,mpenda kuhoji,uwe na maswali mengi badala ya majawabu,

Mfano Ukweli gani wa muhimu wenye faida ambao watu wachache wanakubaliana na wewe...???

Pia usipende kuyumbishwa katika mitazamo/misimamo yako sahihi,kadhalika Alisina pia mpenda watu bila baguzi ya aina yote,mpenda furaha na amani na mwisho usomaji vitabu.

Read more,Learn more , Change the globe!!

Mtu yoyote anaweza pata jina hilo kama ataikana nafsi yake katika juhudi za kujiimalisha kimtazamo na ki-akili.

Niite Alisina mwana wa um'slopogazi mjukuu wa Maskini kitukuu wa Shida.

Idumu Jamii forum! !!!
 
Tupe vitabu unavyosoma tuongeze maarifa
 
Yna12...nimelipenda tu hilo jina..mimi ni mpenzi sana wa philipino drama..na namkubali sana hyu dada alieigiza kama yna kwenye tamthilia moja hivi...ndio maana nikaamua kujipachika ilo jina..na hyo 12 ni idadi ya watoto niliopanga kua nao...[emoji137]
 
OCTOBER MAN

Hili limetokana na movie moja inaitwa October sky, hii movie unahusu kupata freedom, successful, matumaini na katika matumaini hayo wanaamini watayapata October, na ukiangalia kwenye Cover lake utaona wamedisaini anga inayong'aa arafu kuna watu wanatazama angani wakiwa na maana matumaini yapo karibu ndio maana movie ikaitwa October sky

OCTOBER MAN
Kutokana na movie ya October sky, nikaona nijiite October man ni kiwa na maana ya kusadifu dhamira kuu ya movie hii mimi kama October man naamini kwamba mimk ni tumaini kubwa kwenye familia na jamii mzima inayonizunguka na kutegemea iko siku nitafika mbali na kupata mafanikio makubwa kwenye maisha

The October man , a man of October
 
Usser mahali nmetokea
Eneo ambalo nkiwa naenda home
Lazma nishuke hapo au nipite hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…