Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Mpenzi wangu alikuwa anajiita Griffin nami nikaongeza 2 kwa ajili tu ya kumkumbuka, lakini natamani kubadilisha I'd kwani tushamwagana kitambo
kama m mkuu niliwwka password ya jina langu Na la dem tumeacgana toka April 2017 kuandika pasodi hua naona kinyaaaa...
though so kwa I'd hii
 
Swali zuri sana kupata kutokea humu jf.
 
aaah wacha mkwara kama andunje. taarifa gani ulikua nazo? au zile za kumuibia mashuka yule jamaa wa chuoni
Nilikuwa natoka na Demu mmoja humu kumbe yule Demu Mod mmoja akawa anamla siku moja akaja kugundua hilo na mimi nikagundua.
 
Man utd damuni since way back

Kutokana na kuipenda sana man u
Wana wakawa wana penda niita mzee wa big G aka Fergie kuondoka kwa fergie na ujio mpya wa Moyes at OLd trafford i decided to name myself moyes kipind iko na yeye ndo katoka kukabidhiwa team baada ya hapo kilicho baki ni story....
 
Wengi wananiitaga dada mbali na kuwa dada pekee wa baba na mama[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…