Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
we ni mhaya au mnyarwanda?Ni jina langu halisi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we ni mhaya au mnyarwanda?Ni jina langu halisi...
RwU kwanin huitumii tena? ilifungwa?Mhenga Kijana liliondoka likaja hili la Mbao za Mawe.
Kuna Id mbili humu ambazo ziko Active na bado sijaziweka humu achana na RwU.
RwU kwanin huitumii tena? ilifungwa?
kama m mkuu niliwwka password ya jina langu Na la dem tumeacgana toka April 2017 kuandika pasodi hua naona kinyaaaa...Mpenzi wangu alikuwa anajiita Griffin nami nikaongeza 2 kwa ajili tu ya kumkumbuka, lakini natamani kubadilisha I'd kwani tushamwagana kitambo
Swali zuri sana kupata kutokea humu jf.Tunatumia ID fake hapa JF ili kuficha uhalisia wetu(ukiacha verified users),ila naamini hiyo ID unayoitumia haujaichagua kwa bahati mbaya lazma itakuwa na maana kubwa kwako.
Mfano mimi Chinga One nimejiita hivi kwa kuwa nimetokea Mtwara hata Avator yangu ni alama kubwa ya mkoa wa Mtwara ukifika viwanja vya Mashujaa utaikuta hiyo Sanamu,lakini pia nimejiita hilo jina kwa kuwa nilikuwa karibu sana na Straika hatari sana Mohamed Hussein Daima Mmachinga (Chinga One) enzi za utotoni.....Je wewe hiyo ID yako ina maana gani?
aaah wacha mkwara kama andunje. taarifa gani ulikua nazo? au zile za kumuibia mashuka yule jamaa wa chuoniYah nadhani wivu wa Maendeleo halafu nilikuwa na taarifa nyeti sana za Mods nilitaka kuziweka hewani wakaniwahi.
wee jinsia gani?Swali zuri sana kupata kutokea humu jf.
Nilikuwa natoka na Demu mmoja humu kumbe yule Demu Mod mmoja akawa anamla siku moja akaja kugundua hilo na mimi nikagundua.aaah wacha mkwara kama andunje. taarifa gani ulikua nazo? au zile za kumuibia mashuka yule jamaa wa chuoni
kwa manufaa ya wana jkwa mtaje huyo mod!Nilikuwa natoka na Demu mmoja humu kumbe yule Demu Mod mmoja akawa anamla siku moja akaja kugundua hilo na mimi nikagundua.
kwa manufaa ya wana jkwa mtaje huyo mod!
Soon we gonna celebrate it!!My birth day aiseee!
hapana bado sijafaham mkuuChanzo cha Ruw kupigwa ban unajua nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila Giza likiingia kwangu ndiyo pamekucha.
Ni mwendo wa kuroga tuu
[emoji23][emoji23][emoji23]lolKila Giza likiingia kwangu ndiyo pamekucha.
Ni mwendo wa kuroga tuu