Kitambo kidogo mkuu,enzi za ujunior huko,leo uniambie niende OT kutoka tz ni ghali saana kwa gharama binafsi,tho ukishafika UK km laki 2 utafanya tour vizuri,ila hapo bila kuangalia mechi,labda kwny tv za restaurantMkuu ushafika OT kweli kwenye stadium tour!!..
[emoji23][emoji23]aahh Darling... Ntakujibu nikiwa[emoji482][emoji482]ila pole kwa my mshwityy Vickie.. Nampendaa mwambie aunti ake atakuja kumuona veeeeryy soon..He is doing fine ... He talks about you every day dear ... But vicky is npt well tonslittis are disturbing her apprehensively
Lile ni jina langu halisi.Na lile La mwanzo!!!
Kati ya watu wanaotamani kubadili majina ni wewe hapo. Mods msaidie jamaaMan utd damuni since way back
Kutokana na kuipenda sana man u
Wana wakawa wana penda niita mzee wa big G aka Fergie kuondoka kwa fergie na ujio mpya wa Moyes at OLd trafford i decided to name myself moyes kipind iko na yeye ndo katoka kukabidhiwa team baada ya hapo kilicho baki ni story....
H ha h h ha ili lina baki ivi iv tu hakija haribika kitu mkuuKati ya watu wanaotamani kubadili majina ni wewe hapo. Mods msaidie jamaa
Moyes, yule mzee alikuwa ananipa stresKati ya watu wanaotamani kubadili majina ni wewe hapo. Mods msaidie jamaa
Hahaha namuonea huruma huyu jamaa anaetumia jina lake.Moyes, yule mzee alikuwa ananipa stres
Ha ha haaa...anatomy shida....m nakumbuka atlanto-axialMm niliuliza another name for shoulder joint ni lipi!!? It was during oral examination ya anatomy enzi nikiwa first year...nilisahau jibu kisa kupanik kumbe n glenohumeral joint...ndio mpk Leo Niko HV na sisahau tena,chezea temp ya oral ww...unaweza jisahau hata jina
Yap yap, let's join basiiii!Soon we gonna celebrate it!!
Password yangu ya MPesa etc. ni code ya jina langu na la mwanamke nliyeachana nae 2012.kama m mkuu niliwwka password ya jina langu Na la dem tumeacgana toka April 2017 kuandika pasodi hua naona kinyaaaa...
though so kwa I'd hii
Kukimbiatizi la nini kiongoz
Kumbe jamaa wewe ndio zilikua ID zako hizo? Nikajiaga labda hao jamaa wameachana na JF kumbe watu mnabadili ID juu kwa juutoka nipo Jf is mebadir jina Mara 3. kila jina nililo badir lina historian yake.
>>Mondray
nilipewa Na demi flani chuoni aligeuza kutoka jina halisi.
nilitumia sana Chitchat Na MMU Na makapuku forum.
>>Gentries
Hili nililitoa kwa msaanii toka arusha alimva wimbo unaitwaa Chapaa.
"Bado kunahabari kinga haimalizi hamu, bado kunahatar mpenzi ukimwacha Na hamu. hii niliitumia kusaka maduu Jf Na kutania watu
baaada ya kufanya utumbo wote humu ukafika muda was mimi kutoa Yale niliyonayo kichwani ndo nikajisajili as davinci
Igbowe ni mhaya au mnyarwanda?
Nilidhan utasema ndo mwaka uliozaliwa kumbe ndo uliingia kwenye chama la wanaSina Kinyongo na MTU, sina makuu ni MTU wa watu ni SWAHIBA wa kila Aliye Mwema..1992..(92)Nilifunga Ndoa, Nikampata mwenzi wa maisha..
Rais Wa nini? kuna marais wengi sikuhiziMimi ni rais wenu. Full stop