Kilugha gani hicho mkuu?Kush africa = mzawa wa africa
Wewe tuu.Yap yap, let's join basiiii!
ndio mwenyewe kiongozi just kusongesha gurudumu la anonymity mbeleKumbe jamaa wewe ndio zilikua ID zako hizo? Nikajiaga labda hao jamaa wameachana na JF kumbe watu mnabadili ID juu kwa juu
ThibitishaSio kweli[emoji2] [emoji2] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Seremala?Mimi kwa kweli ni Historia ndefu sana.
Hapana sijawahi kufanya kazi hiyo Mkuu.Seremala?
89 ndo mwaka uliozaliwa kwamaana ya 1989Mimi ni mtumishi wa Bwana wa majeshi
Unajiita bilionea unaweza ukakuta hata TIN namba huna, watu wafupi mnatambo sanaMimi ni mfupi halafu ni bilionea mkubwa pale Bunju nipo hapa Jf kuwapiga mikwara maskini wote
Alipewa na bwana wake wa zamaniHalina maana.
Ile avatar yako ya kwanza siisahau sijui kwanini!..Kabila langu na mwaka wa kuanza shule
ha ha ha haNiko chuo kikuu nachukuwa electrical engineering ndipo nilipokutana na hesabu za huyu jamaa, Laplace Transforms differential equations. That:-
Given f(t) and g(t) then,
L{af(t)+bg(t)}=aF(s)+bG(s)L{af(t)+bg(t)}=aF(s)+bG(s)
for any constants aa and bb.
Wasalimie sana huku Chinga wenzangu,msimu wa korosho umeanza hela nje nje hukoMimi ni kwetu japo naishi huku kwenu Chinga One