Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
yeah la kiislam hasa
Nina uhakika hata yakiorodheshwa majina 50 lako linaweza lisiwemo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah la kiislam hasa
Salmaa,hapana Mangi
wii hahahhaa hapana wii hakuna hata mojaSwabra au Samira.
Wii nimekumiss
umeamua unibatize kwa lazima mangi????Salmaa,
hahahahaha bora hata umetambua hilo, na yote yaliyitajwa hakuna hata linalofanana nalo hata kulikaribiaNina uhakika hata yakiorodheshwa majina 50 lako linaweza lisiwemo.
umeamua unibatize kwa lazima mangi????
Sitti basiiiiwii hahahhaa hapana wii hakuna hata moja
shahid yangu ni don kasema hapo juu wallah billah siitwi hayo majina mnanipa kabisaMi huwa sikoseagi,
Kuna mwezio alikuja km wewe, alisema jina lake linaanza na S, nikampa jina mwishoe akakubali
chakor??? Lee gang mo hii the giant kwangu ni best of korean drama pamoja na city hunterMm natumia GANG MO. Huyu ni dogo ambaye alinivutia sana katika season ya giant. Hyo avata ni ya chakori. Huyu mtoto pia alinivutia sana katika season ya kihindi iitwayo udaan sapno ki
duh wiiSitti basiiii
Yes but mimi nilifupisha na kujiita gang mo. Ni chakor yes. Vip umeiangalia?chakor??? Lee gang mo hii the giant kwangu ni best of korean drama pamoja na city hunter
chakor niliifatilia nikaja ona ujinga tu baijii alivyougua kichaa nikaachana nayo, the giant nimeangalia na siichokiYes but mimi nilifupisha na kujiita gang mo. Ni chakor yes. Vip umeiangalia?
linaanza na s linamalizika na i .
[emoji12] [emoji12] [emoji12] mm nilikapenda haka katoto namna kanavojiamini na kanavojua kuigiza vizuri. Lakin sikumaliza kuitazamachakor niliifatilia nikaja ona ujinga tu baijii alivyougua kichaa nikaachana nayo, the giant nimeangalia na siichoki
khahahhahahahhahahahahahahhahahaha hapanaSimi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Au tufanye Shariffu.khahahhahahahhahahahahahahhahahaha hapana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh wii
na naskia bado yaendelea[emoji12] [emoji12] [emoji12] mm nilikapenda haka katoto namna kanavojiamini na kanavojua kuigiza vizuri. Lakin sikumaliza kuitazama
ntakutafta s kwa jina hilo umenshtua sana had nimeogopa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]