Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Mm natumia GANG MO. Huyu ni dogo ambaye alinivutia sana katika season ya giant. Hyo avata ni ya chakori. Huyu mtoto pia alinivutia sana katika season ya kihindi iitwayo udaan sapno ki
 
chakor??? Lee gang mo hii the giant kwangu ni best of korean drama pamoja na city hunter
 
Yes but mimi nilifupisha na kujiita gang mo. Ni chakor yes. Vip umeiangalia?
chakor niliifatilia nikaja ona ujinga tu baijii alivyougua kichaa nikaachana nayo, the giant nimeangalia na siichoki
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] mm nilikapenda haka katoto namna kanavojiamini na kanavojua kuigiza vizuri. Lakin sikumaliza kuitazama
 
Back
Top Bottom