Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

MIMI LANGU MAJI YA PWANI BCAUSE NAISHI DAAAAAR UKANDA WA PWANI NA PWANI NI KUTAMU KULIKO BARAA
 
Wakuu, basi hapa jf kuna kila aina ya majina kulingana na hizi ID zetu feki zinazotumiwa humu!

Kikubwa zaidi kuna id nyingine ukiiona unaanza kucheka huku ukijiliuza hii ina maana gani?

Leo naomba tujadili sababu iliyokufanya uchague hiyo id unayoitumia na ina maana gani. Mm kwa upande wangu bwana.,nakumbuka nilikuwa na id yangu moja hivi ikapigwa ban, niaona usinitanie nikaingia usajili mwingine.

Kilicho fanya nitumie jina la "Crimea" ni kwamba wakati flani nchi ya Urusi na nchi siikumbuki jinabwalikuwa katika ugomvi mkali wakigimbea jimbo la Crimea, ule mgogoro hadi ulizusha hofu ya vita ya tatu ya dunia. Hii crimea ikawa maarufu sana midomoni mwa watu na vyombo vya habari, baai na mie nikaona nijinyakulie niifanye iwe nsio id yangu hapa jf.

Twambie wewe nn kilipelekea kuchagua hii id yako?
Yangu inasadifu nilivyo..!

Kama unabisha fanya jaribio..
 
CompaQ

Ni jina la Kompyuta ya kwanza Kuiona na Kuigusa mnamo mwaka 2004.
Ndio ilikuwa mara ya kwanza kuiona Kompyuta na kuigusa.
Hivyo nikaona sio Issue avha iwe Nick nickname yangu.
 
Wakuu, basi hapa jf kuna kila aina ya majina kulingana na hizi ID zetu feki zinazotumiwa humu!

Kikubwa zaidi kuna id nyingine ukiiona unaanza kucheka huku ukijiliuza hii ina maana gani?

Leo naomba tujadili sababu iliyokufanya uchague hiyo id unayoitumia na ina maana gani. Mm kwa upande wangu bwana.,nakumbuka nilikuwa na id yangu moja hivi ikapigwa ban, niaona usinitanie nikaingia usajili mwingine.

Kilicho fanya nitumie jina la "Crimea" ni kwamba wakati flani nchi ya Urusi na nchi siikumbuki jinabwalikuwa katika ugomvi mkali wakigimbea jimbo la Crimea, ule mgogoro hadi ulizusha hofu ya vita ya tatu ya dunia. Hii crimea ikawa maarufu sana midomoni mwa watu na vyombo vya habari, baai na mie nikaona nijinyakulie niifanye iwe nsio id yangu hapa jf.

Twambie wewe nn kilipelekea kuchagua hii id yako?
Mimi nimetumia jina langu halisi hizo namba mbele mbwembwe tu.
 
Ramea ni jina la babu, alikuwa magician sifa yake kubwa ni kutopiga mtu. Akipiga mtu hata Kofi tu lazima ufe, na akikuonya kwa kukunyooshea kidole ndugu yangu utalazwa ICU kwa ugonjwa usioeleweka. Kwa bahati mbaya alikufa na dawa zake bila kumfundisha ndugu yoyote.
 
Mimi ni mwanaume siogopi Nina Tumia Jina langu na sina cha kuficha
 
Back
Top Bottom