Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

It was so simple to grasp what was the post contents!..
Ukiona unapata tabu kueleweka ujue either hujielewi au huelewi unachotaka kukielewesha.

Sisikitiki mimi kua average au small brain, nahofia kwamba ikiwa mimi ndo small brain, kwa mind yako wewe utakua level gani?
 
Kuanzia page ya 3 hadi 10 mnatongozana nyie tu, fyuuuu!!! Mnaharibu tu thread
inakuuma??? Unga tela mkuu, ingekua tubatongozwa kwa style hii sjui ingekuaje nikupe pole na mfyuu kama wa kiume usitumie tena kama umekwazika utusamehe hatuna namna.
 
inakuuma??? Unga tela mkuu, ingekua tubatongozwa kwa style hii sjui ingekuaje nikupe pole na mfyuu kama wa kiume usitumie tena kama umekwazika utusamehe hatuba namna.
Iniume nini??? Papuchi ni yako kama kuipa raha au mateso ni juu yako.
 
mimi hii yangu ni abreviation ya majina yangu matatu ba mpa mi
 
Iniume nini??? Papuchi ni yako kama kuipa raha au mateso ni juu yako.
life is too short kuchukula kila kitu serious, yes as u said acha tutongozane bas jamani si mimi kama haikukeri usingenikwot, by the way nikutakie mchana mwema.
 
inakuuma??? Unga tela mkuu, ingekua tubatongozwa kwa style hii sjui ingekuaje nikupe pole na mfyuu kama wa kiume usitumie tena kama umekwazika utusamehe hatuna namna.
just relax
 
Back
Top Bottom