Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
always babethats my babe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
always babethats my babe
i understandloh sina namna lakini nimeogopa hope u know
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Naona umehamia lugha ya malkia ili angalau uonekane umo.. 🤣🤣🤣It was so simple to grasp what was the post contents!..
Sio kweli.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Naona umehamia lugha ya malkia ili angalau uonekane umo.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikia mkuu, ukimkuta mtu anajihubiri yakua na mind ya juu ya wastani, huo ni uthibitisho ya kua yuko chini ya wastani au ni very small ( kama nakudanganya nenda mirembe, vichaa wote wanajion timamu saanaaa..)
Lakini kujiona big mind huko kunaweza kukawa hivi.
1. Pengine ni big mind kweli, ila ni very immature (ni sawa na embe changa kujivuna "mimi nina sukari ila wajinga ndo wanapata tabu kunielewa"; unaelewa kabisa hili embe kwa sasa ni chachu ila likiiva litakua tamu). Kwahyo kazana kujilea mentally, wawezaiva ukaprove big mind kama unavyo hubiri..
2. Pengine umewahi kukutana na big minds, ukawa impressed, ukaamua kufanya yanayofanana na wao ukaanza kupata bichwa ukidhani ume become.
3. Ama, imewah tokea by chance ukafanya vtu more than u know u could, hiyo ikakufanya ujione ndo big mind na kuwaona wengine small ama average mind.
Yote kwa yote hayo mambo yanaprove kua unatamani kua big mind.
Ninachoamini: Unao uwezo wakutanua mind yako (hata kufikia kuwa BIGGER mind), hiyo ambition uliyonayo yakua big mind ni nzuri (hasa katika kutafuta kujifunza, usiiache).
Zikitimia kichwani utajielewa tuu... na utaona kabisa kua hauna sababu yakumwambia mwingine kwamba kichwani kwako zimekaa sawa (wanaokuzunguka wataelewa wenyewe). Ukiona bado unaimba imba "ooh mimi big mind" hiyo ni sign ya very small mind.
Naamini umepata kitu.
Natamani nisijbu chochote utakacho reply tena, maana kama hujaelewa hii reply utakua unataka mashindano tuu.
Wiiiii karibu tule ila uvue viatumhh sio kawaida nakwambia ntakuja pm
hahahahahaa shukran tule viatu viko kwapaniWiiiii karibu tule ila uvue viatu
Eeeh wii wangu wa faida [emoji23][emoji23][emoji23]hahahahahaa shukran tule viatu viko kwapani
You have proved me enough to know that y're below average mind full stop..![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Naona umehamia lugha ya malkia ili angalau uonekane umo.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikia mkuu, ukimkuta mtu anajihubiri yakua na mind ya juu ya wastani, huo ni uthibitisho ya kua yuko chini ya wastani au ni very small ( kama nakudanganya nenda mirembe, vichaa wote wanajion timamu saanaaa..)
Lakini kujiona big mind huko kunaweza kukawa hivi.
1. Pengine ni big mind kweli, ila ni very immature (ni sawa na embe changa kujivuna "mimi nina sukari ila wajinga ndo wanapata tabu kunielewa"; unaelewa kabisa hili embe kwa sasa ni chachu ila likiiva litakua tamu). Kwahyo kazana kujilea mentally, wawezaiva ukaprove big mind kama unavyo hubiri..
2. Pengine umewahi kukutana na big minds, ukawa impressed, ukaamua kufanya yanayofanana na wao ukaanza kupata bichwa ukidhani ume become.
3. Ama, imewah tokea by chance ukafanya vtu more than u know u could, hiyo ikakufanya ujione ndo big mind na kuwaona wengine small ama average mind.
Yote kwa yote hayo mambo yanaprove kua unatamani kua big mind.
Ninachoamini: Unao uwezo wakutanua mind yako (hata kufikia kuwa BIGGER mind), hiyo ambition uliyonayo yakua big mind ni nzuri (hasa katika kutafuta kujifunza, usiiache).
Zikitimia kichwani utajielewa tuu... na utaona kabisa kua hauna sababu yakumwambia mwingine kwamba kichwani kwako zimekaa sawa (wanaokuzunguka wataelewa wenyewe). Ukiona bado unaimba imba "ooh mimi big mind" hiyo ni sign ya very small mind.
Naamini umepata kitu.
Natamani nisijbu chochote utakacho reply tena, maana kama hujaelewa hii reply utakua unataka mashindano tuu.
Najua big mind ata like reply yako.Sio kweli.
Najua unasema "sio kweli" kwasababu nawewe unajiita genius.Sio kweli.
Dah..vijana wa Macumb Show kila siku staili mpya....[emoji41] [emoji13]Wakuu, basi hapa jf kuna kila aina ya majina kulingana na hizi ID zetu feki zinazotumiwa humu!
Kikubwa zaidi kuna id nyingine ukiiona unaanza kucheka huku ukijiliuza hii ina maana gani?
Leo naomba tujadili sababu iliyokufanya uchague hiyo id unayoitumia na ina maana gani. Mm kwa upande wangu bwana.,nakumbuka nilikuwa na id yangu moja hivi ikapigwa ban, niaona usinitanie nikaingia usajili mwingine.
Kilicho fanya nitumie jina la "Crimea" ni kwamba wakati flani nchi ya Urusi na nchi siikumbuki jinabwalikuwa katika ugomvi mkali wakigimbea jimbo la Crimea, ule mgogoro hadi ulizusha hofu ya vita ya tatu ya dunia. Hii crimea ikawa maarufu sana midomoni mwa watu na vyombo vya habari, baai na mie nikaona nijinyakulie niifanye iwe nsio id yangu hapa jf.
Twambie wewe nn kilipelekea kuchagua hii id yako?