kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
la kiume hilo[emoji23] [emoji23] [emoji23] Au tufanye Shariffu.
Suzuki au?la kiume hilo
Shetani? [emoji23][emoji23]linaanza na s linamalizika na i .
Yangu inasadifu nilivyo..!Wakuu, basi hapa jf kuna kila aina ya majina kulingana na hizi ID zetu feki zinazotumiwa humu!
Kikubwa zaidi kuna id nyingine ukiiona unaanza kucheka huku ukijiliuza hii ina maana gani?
Leo naomba tujadili sababu iliyokufanya uchague hiyo id unayoitumia na ina maana gani. Mm kwa upande wangu bwana.,nakumbuka nilikuwa na id yangu moja hivi ikapigwa ban, niaona usinitanie nikaingia usajili mwingine.
Kilicho fanya nitumie jina la "Crimea" ni kwamba wakati flani nchi ya Urusi na nchi siikumbuki jinabwalikuwa katika ugomvi mkali wakigimbea jimbo la Crimea, ule mgogoro hadi ulizusha hofu ya vita ya tatu ya dunia. Hii crimea ikawa maarufu sana midomoni mwa watu na vyombo vya habari, baai na mie nikaona nijinyakulie niifanye iwe nsio id yangu hapa jf.
Twambie wewe nn kilipelekea kuchagua hii id yako?
kapatia mmoja tu ananichora tu hapaSauda, Sabia, Saida, Shakira, Somoe, Sandra, Shani hapo je
ila wamekushika as if mwizi duuh, vp hapo nimepata??
tena wa mguu mmoja hahahShetani? [emoji23][emoji23]
Jaribio lilikua kuielezea ID yakoYangu inasadifu nilivyo..!
Kama unabisha fanya jaribio..
Mimi nimetumia jina langu halisi hizo namba mbele mbwembwe tu.Wakuu, basi hapa jf kuna kila aina ya majina kulingana na hizi ID zetu feki zinazotumiwa humu!
Kikubwa zaidi kuna id nyingine ukiiona unaanza kucheka huku ukijiliuza hii ina maana gani?
Leo naomba tujadili sababu iliyokufanya uchague hiyo id unayoitumia na ina maana gani. Mm kwa upande wangu bwana.,nakumbuka nilikuwa na id yangu moja hivi ikapigwa ban, niaona usinitanie nikaingia usajili mwingine.
Kilicho fanya nitumie jina la "Crimea" ni kwamba wakati flani nchi ya Urusi na nchi siikumbuki jinabwalikuwa katika ugomvi mkali wakigimbea jimbo la Crimea, ule mgogoro hadi ulizusha hofu ya vita ya tatu ya dunia. Hii crimea ikawa maarufu sana midomoni mwa watu na vyombo vya habari, baai na mie nikaona nijinyakulie niifanye iwe nsio id yangu hapa jf.
Twambie wewe nn kilipelekea kuchagua hii id yako?
onea huruma mbavu zangu nacheka balaa hahahaha hapanaSuzuki au?
Ni ndefu balaa. Yaan ile itakuwa kama isidingo[emoji23]na naskia bado yaendelea
Dah pole.onea huruma mbavu zangu nacheka balaa hahahaha hapana
Umembiwa inasadifu mimi nilivyo, huwa napata taabu kueleweka kwa average brain na small brain kama wewe.Jaribio lilikua kuielezea ID yako
Umeshafeli.
hahahaha niliachana nayoNi ndefu balaa. Yaan ile itakuwa kama isidingo[emoji23]
hahaha asanteeDah pole.