Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Id yangu nina girlfriend ambaye niseme nampenda sana but now mahusiano yanatembelea magongo
Alikua anapata tabu kuniita jina langu loote coz ni la kipekee akaamua kuwa ananiita T
Ajabu mpaka classmates na college mates na baadhi ya family members wakaanza niita T
So na mimi nikaona sio tabu na nyie humu mkiinita T
 
It was so simple to grasp what was the post contents!..
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Naona umehamia lugha ya malkia ili angalau uonekane umo.. 🤣🤣🤣

Sikia mkuu, ukimkuta mtu anajihubiri yakua na mind ya juu ya wastani, huo ni uthibitisho ya kua yuko chini ya wastani au ni very small ( kama nakudanganya nenda mirembe, vichaa wote wanajion timamu saanaaa..)

Lakini kujiona big mind huko kunaweza kukawa hivi.
1. Pengine ni big mind kweli, ila ni very immature (ni sawa na embe changa kujivuna "mimi nina sukari ila wajinga ndo wanapata tabu kunielewa"; unaelewa kabisa hili embe kwa sasa ni chachu ila likiiva litakua tamu). Kwahyo kazana kujilea mentally, wawezaiva ukaprove big mind kama unavyo hubiri..

2. Pengine umewahi kukutana na big minds, ukawa impressed, ukaamua kufanya yanayofanana na wao ukaanza kupata bichwa ukidhani ume become.

3. Ama, imewah tokea by chance ukafanya vtu more than u know u could, hiyo ikakufanya ujione ndo big mind na kuwaona wengine small ama average mind.
Yote kwa yote hayo mambo yanaprove kua unatamani kua big mind.

Ninachoamini: Unao uwezo wakutanua mind yako (hata kufikia kuwa BIGGER mind), hiyo ambition uliyonayo yakua big mind ni nzuri (hasa katika kutafuta kujifunza, usiiache).

Zikitimia kichwani utajielewa tuu... na utaona kabisa kua hauna sababu yakumwambia mwingine kwamba kichwani kwako zimekaa sawa (wanaokuzunguka wataelewa wenyewe). Ukiona bado unaimba imba "ooh mimi big mind" hiyo ni sign ya very small mind.

Naamini umepata kitu.

Natamani nisijbu chochote utakacho reply tena, maana kama hujaelewa hii reply utakua unataka mashindano tuu.
 
Sio kweli.
 
You have proved me enough to know that y're below average mind full stop..!
 
Dah..vijana wa Macumb Show kila siku staili mpya....[emoji41] [emoji13]
 
Mimi nilichagua ID yangu kwa sababu kila wakati hapa JF watanzania mnatutukana sisi waKenya kwamba ni manyang’au mara nmtuite wezi nikaona isiwe issue acha nijiite Mkenya mwenye tamaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…