Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

mtuwatu katika maisha mtu lazima akutane na mtu mwingne na hapo ndpo uzuka watu, na kingne mtu ni watu, hakuna mafanikio ya mtu pasipo watu kuhusishwa nao.. mtuwatu ni bonge la jina tena lenye maana zaidi ya1000
 
Mimi hii ID yangu ni jina langu halisi, "I am Bless" tafsiri yake mimi ni Bless, "Bless" ni jina langu la kuzaliwa nililopewa na mama, na nimeamua kutumia jina hili pia kama ID yangu humu Jf,
 
Asee nkiw mgambo jkt 2014 mafunzo ya mujibu,hii ilikuwa kombania yangu ....vituko Sana kipindi hicho
 
King ni jina langu halisi na Y ni jina la pili yaani Yen
 
Mkuu mbona huyu dada wa kwny avatar yako umemnyima ziwa, kakukosea nn dada wawatu bhas at least ungempa hata chura..
Real person na yuko hivyo huyo msela wangu huyo tungekuwa tunafahamiana ningeonesha potrait za kufa mtu z huyo mdada hakuna imagination hapo
 
Umetisha
 
Sasa chief hizo connection naomba unishirikishe. Hata kua follower wako
 
Nilikuwa na Id moja longtime ikihusisha jina la ukoo wangu,jina maarufu kidogo na kote nilikopita mtaani,skuli,chuo na hata job natumia hilo jina.
Kisa kilichonifanya niibadili hii Id ni siku moja nilipodondosha uzi,akatokea mdau mmoja na kuleta za kujuana,tokea hapo nikaona ni kheri kuwa na Id tatanishi kidogo.
Id niliyonayo sasa imetokana na kusimamia kweli/haki/kutoyumba kwenye maamuzi na ukizingatia na dini yangu, wadau huwa wananiita kwa Id hiyo.
23 ni tarehe yangu ya kuzaliwa..
 
Jina la babu wa babu.Juzi nilithimuliwa story na mzee kuhusu family tree yetu naona hili jina sikupaswa kulitumia n ndg ila sio wa karibu kama nilivyokuwa nadhan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…