Kama Che Guevara?Che - ni kiambishi awali cha sifa ya hadhi.
Yaani kama unaitwa Sombi basi ukishatoka jandoni unaitwa
Che Sombi.
Ni kama makabila mengine yanatumia viambishi awali kama
She - Lukindo
Mwa - Kipesile
Se - Kalinga
Se - Ntongo, nk.
Wazungu utasikia wanaitwa
Allex, Mc - Neell
Perez, De - Quere, nk
Mittoga ni jina la hadhi ya ukoo.
Kumbuka ile "Che" ni kiambishi awali cha sifa ya hadhi, na sio jina.
Kwa mfano ukimsaidia mtu ktk tatizo kubwa anakuja kukushukuru hata kama unaitwa Ally hatamki Ally.
Bali anasema
"Usengwile Mittoga" kama ni mwanamume asiye pitia jandoni, kama kapitia jandoni utaunganisha Kiambishi awali cha sifa ya hadhi na jina la hadhi ya ukoo na utatamka
Che mittoga
Kwa maana ya " Asante Ally "
Hapo inamaana wanaume wa ukoo wa "Chapanjila" wote kama yeyote atafanya jambo zuri hivyo kutakiwa kushukuriwa au kuombwa radhi basi jina litakalotumika ni " mittoga "
Asante Che mittoga
Samahani Che mittoga.
Ndio maana nikatumia hiyo
Avatal.
Usengwile makamanda.
Kunjani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini mkuu?Vipi sasa hivi unafanya kazi google mkuu?
CC Zero IQ
Wewe ni mbenamanga?Che - ni kiambishi awali cha sifa ya hadhi.
Yaani kama unaitwa Sombi basi ukishatoka jandoni unaitwa
Che Sombi.
Ni kama makabila mengine yanatumia viambishi awali kama
She - Lukindo
Mwa - Kipesile
Se - Kalinga
Se - Ntongo, nk.
Wazungu utasikia wanaitwa
Allex, Mc - Neell
Perez, De - Quere, nk
Mittoga ni jina la hadhi ya ukoo.
Kumbuka ile "Che" ni kiambishi awali cha sifa ya hadhi, na sio jina.
Kwa mfano ukimsaidia mtu ktk tatizo kubwa anakuja kukushukuru hata kama unaitwa Ally hatamki Ally.
Bali anasema
"Usengwile Mittoga" kama ni mwanamume asiye pitia jandoni, kama kapitia jandoni utaunganisha Kiambishi awali cha sifa ya hadhi na jina la hadhi ya ukoo na utatamka
Che mittoga
Kwa maana ya " Asante Ally "
Hapo inamaana wanaume wa ukoo wa "Chapanjila" wote kama yeyote atafanya jambo zuri hivyo kutakiwa kushukuriwa au kuombwa radhi basi jina litakalotumika ni " mittoga "
Asante Che mittoga
Samahani Che mittoga.
Ndio maana nikatumia hiyo
Avatal.
Usengwile makamanda.
Kunjani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaha,Hahaha mkuu umenikumbusha...
Id yangu ilikua hivi,...
Ni kipindi natoka Rwanda nikiwa na wenzangu wanne sasa tuliondoka mda sio Kigali tukafika boda mida ya usiku na hapakua na usafiri wa kutuchukua kwa upande wa Tz. Sasa akatokea mchaga mmoja ana semiteller akatuambia atuchukue kwa elfu mbili mbili kwa kila mmoja. Sasa tukapanda kwenye kontena mulikua na magunia kama saba ya karoti, hakika siku hiyo nililitafuta kama za kwangu. Na hapo ndo jina hilo likapatikana.
Inaweza ikawa caila,casablanka au candy hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zesh jina langu hiyo chriss huyo alikua bwanangu kipindi nafungua hii akaunti so kwa mapenzi niliyokua nayo kwake niliamua kujiita zeshchriss ......
Mapenzi kitu cha kipumbavu sana eti time hii hatuongei mi na Chriss dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Suruya kamàrID yangu ni jina la jamaa furani Muigizaji wa filamu za kihindi.
Very clever
Kama mm nilivo.
Pia mitazamo yetu kuhusu mapenz, tunayachukulia sawa.
I love Bollywood movies ever...
Sent using Jamii Forums mobile app