mjomba angu anaitwa Chikulonda, wa swax, fipa oye, wa kumwitu.Chikutentema, jina la Utani la mjomba angu huko Sumbawanga, akinywa alikuwa na maguvu sana nami kwakuwa napenda umwamba (Ubabe) nilikuwa namkubali sana. Japo kaacha ubabe now
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda nyoka sana na computers. Sasa "Kali Linux" ni neno lilipo kwenye hizo pande zote. Kali ni nyoka fln hv kwenye myths za kihindi na Kali linux ni OS(Kama window, sema hii ni maalum kwa hackers)Naamini huenda kila mmoja wetu hapa Jamii Forums ana chanzo/sababu mahsusi ya kuja na ID yake aidha kuna jambo/tukio lilimvutia/huzunisha hivyo kuja na Id fulani.Binafsi Id yangu ilitokana na kipindi fulani kufanya kazi kwenye 'Camp' moja ya wakimbizi hivyo wakati huo ndo nimeanza kuingia Jf kama Guest kabla ya kujiunga rasmi.Neno 'cmp' nimefupisha neno camp.
Mkuu hilo jina la id yako linaaksi Sana maudhui ya mada na michango yako humu jamvini[emoji106]
Kuna askari muoga,kuna mtu anaitwa "Ikinena " huyu namtafuta anipe maana yake tafadhali
yupo humu ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
No,
To be born there mkuu.Lizaboni Ndo Home. I'm proud to born there
ChikongolaMtwara Maeneo gan mkuu
CajojopomaMalizia na pombe Mag