Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Chikutentema, jina la Utani la mjomba angu huko Sumbawanga, akinywa alikuwa na maguvu sana nami kwakuwa napenda umwamba (Ubabe) nilikuwa namkubali sana. Japo kaacha ubabe now

Sent using Jamii Forums mobile app
mjomba angu anaitwa Chikulonda, wa swax, fipa oye, wa kumwitu.
Ok, jina lqngu limetokana na kwamba nmesoma moro olevel, adv na chuo kikuu, ivo nikajiita morogoro gentleman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini huenda kila mmoja wetu hapa Jamii Forums ana chanzo/sababu mahsusi ya kuja na ID yake aidha kuna jambo/tukio lilimvutia/huzunisha hivyo kuja na Id fulani.Binafsi Id yangu ilitokana na kipindi fulani kufanya kazi kwenye 'Camp' moja ya wakimbizi hivyo wakati huo ndo nimeanza kuingia Jf kama Guest kabla ya kujiunga rasmi.Neno 'cmp' nimefupisha neno camp.
Napenda nyoka sana na computers. Sasa "Kali Linux" ni neno lilipo kwenye hizo pande zote. Kali ni nyoka fln hv kwenye myths za kihindi na Kali linux ni OS(Kama window, sema hii ni maalum kwa hackers)
 
Mimi na sababu kuu 2
Za jina hili Lord eyes
1)Ni kweli hili jina kuna msanii analitumia kama aka nilitokea huyu jamaa kumuelewa kwa mashairi yake ni consciousness zaidi ya Nicki wa pili ,bonta na joh makini japo wote wakali kweli jamaa mashairi yake niliyaelewa ya kanifunza kitu
2)Mimi ni mpenzi wa Movies za Hollywood hisusani zile za magic of white people na nini nikatokea kuipenda sana movie ya Harry potter actor ambae ni main character aliecheza tangu kuzaliwa kwake kilitabiliwa kwa ujio wa Lord of darkness ambae ni vodmo...,......., nishie hapo usiku mwema
 
Kama inavyo jieleza my ID.
Nisipokula msuba,akili yangu inakuwa ya madenge.
Lakini msuba niliovuta jana mchana ni shida
Yaani nimetoka tu maskani kuvuta ganja ile nafika tu hom nikaanza kusalimia nyumba nzima,huku nikiwapa na mkono,kama vile nimetoka safarini
Bro akanishtukia,basi alinipa kubao takatifu cha usoni[emoji17]akili ndio ikakaa sawa[emoji1321]‍♂️
 
Rajkapool
R=rajabu (babangu)
A=aman(jina langu)
J= johari(mamangu)
K= kasimu(mdogoangu)
P= Paul (my only friend)
O= ozil (my favorite player)
O= om shanti om ( my favorite [emoji1128] movie)
L=Leila (my woman)


Id yangu imebeba vitu vyote ninavyovipenda

kama ulipokea usisite kutoa tena
 
Mimi avatar yangu ndio hali halisi navuta bangi, na jina tozi ndio nilivyo utozi mwanzo mwisho. Mwisho wa comments zangu huandika ndukiiiii kwasababu sina muda wa kupoteza. Nafanya nikifanyacho halafu nasepa


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom