Ningependa pia kujuaSijui niandikeje ? Yaani !!
Ipi?mzee hiyo honda click naipataje? mi cmoney ni aka ya jina langu si-mon na huyo jogoo alikua wa hom siku naanda id ndo nkaambiwa nkammchinje miaka kama 8 hiv nyuma huko
Mkuu hiyo sentensi yako ya mwisho inaleta ukakasi hasa tukiunganisha na ile stori yakoKiongozi mi ID yangu ilikuja baada ya kuwa na demu mkali hatare, ananipenda kuliko chochote kile.
Namimi nikaamini na midevu yangu kama Sultan kumbe chaka....... Et "She loves me" hovyooooo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] dume zima hovyoo!!!!!! Halaf nikiitwa shoga nalalamika
Sent using Jamii Forums mobile app
kwe profile picture yako..natafuta hizo batavuzi honda clickIpi?
Mbona Dar zipo mkuukwe profile picture yako..natafuta hizo batavuzi honda click
Mbona unakohoa mkuu??
Kuna majina nikikutana nayo umu ndani huwa nafurahi saanMbona unakohoa mkuu??
Mkuu wew mwenyej Wa uyol??kawetele/ kawetere - Moja ya mlima maarufu kwetu Mbeya.
nkiwa mdogo nimebeba sana mabanzi na kuni kule.
na ukiwa maeneo ya uyole - unaona mandhari nzuri ya mlima upande wa kaskazini.
1.Kwa nini unafurahia kuona baadhi ya I'd.?Kuna majina nikikutana nayo umu ndani huwa nafurahi saan
Nikiona id yako nataman San kupiga ulabu sijui kwann
Kingn nafarijika nikiona watu wapo online mda huu (APA usiniulize sababu mkuu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lingine mtu anakuwa hayupo humu kwa muda mrefu, akija anaanzisha anachokifikiria bila kufikiria kuwa ulishawahi kuanzishwa au la.Kabisa, maana unakuta unarudia rudia.
Halafu wanaoanzisha threads hata hawafanyi jitihada za kuwaza kwamba thread kama hii ipo au la?
Mwingine unakuta anajua ipo ila anataka kuanzisha ya kwake.
1. Mim huwa nafurah kwa mambo madogo na ya kawaida saan ,SAS baadh ya id nikiziona najikuta nacheka peke yangu1.Kwa nini unafurahia kuona baadhi ya I'd.?
2.Kwa nini ukiona I'd yangu unatamani kupiga ulabu?
3.unajihisi unapata wenzako ambao hawana cha kufanya had waingie online muda huu?
Swal namb 3 limenigusa saan mkuu kwan nipo bench kitambooooo Saab,,,jf ndo inaniondolea stress kwa kupenda kucheka1.Kwa nini unafurahia kuona baadhi ya I'd.?
2.Kwa nini ukiona I'd yangu unatamani kupiga ulabu?
3.unajihisi unapata wenzako ambao hawana cha kufanya had waingie online muda huu?
Hahahahaha nimekuelewa mkuu....ila kwa hiyo I'd yangu inakuchekesha1. Mim huwa nafurah kwa mambo madogo na ya kawaida saan ,SAS baadh ya id nikiziona najikuta nacheka peke yangu
2. Ulishawahi kuniahid kuniletea mbege kutok moshi ila emoj ya glass sikupata
3. Jf ni furaha yangu,,,,,,,back to the QN, kuwa online sio kwamba huna cha kufany ila ni maamuz tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app