Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Napenda mengi yanayowahusu ma-Agent wa kwenye Movies za kipelelezi na namna wanavyotambulika kwa majina yao yenye mchanganyiko wa herufi na namba.....hapa ndipo nilipojiita M16

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzee hiyo honda click naipataje? mi cmoney ni aka ya jina langu si-mon na huyo jogoo alikua wa hom siku naanda id ndo nkaambiwa nkammchinje miaka kama 8 hiv nyuma huko
Ipi?
 
Kiongozi mi ID yangu ilikuja baada ya kuwa na demu mkali hatare, ananipenda kuliko chochote kile.
Namimi nikaamini na midevu yangu kama Sultan kumbe chaka....... Et "She loves me" hovyooooo

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] dume zima hovyoo!!!!!! Halaf nikiitwa shoga nalalamika

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo sentensi yako ya mwisho inaleta ukakasi hasa tukiunganisha na ile stori yako
 
kawetele/ kawetere - Mlima maarufu kwetu Mbeya.
nkiwa mdogo nimebeba sana mabanzi na kuni kule.

na ukiwa maeneo ya uyole - unaona mandhari nzuri ya mlima upande wa kaskazini.
 
Kuna majina nikikutana nayo umu ndani huwa nafurahi saan

Nikiona id yako nataman San kupiga ulabu sijui kwann

Kingn nafarijika nikiona watu wapo online mda huu (APA usiniulize sababu mkuu)

Sent using Jamii Forums mobile app
1.Kwa nini unafurahia kuona baadhi ya I'd.?

2.Kwa nini ukiona I'd yangu unatamani kupiga ulabu?

3.unajihisi unapata wenzako ambao hawana cha kufanya had waingie online muda huu?
 
Kabisa, maana unakuta unarudia rudia.

Halafu wanaoanzisha threads hata hawafanyi jitihada za kuwaza kwamba thread kama hii ipo au la?

Mwingine unakuta anajua ipo ila anataka kuanzisha ya kwake.
Tatizo lingine mtu anakuwa hayupo humu kwa muda mrefu, akija anaanzisha anachokifikiria bila kufikiria kuwa ulishawahi kuanzishwa au la.
 
1.Kwa nini unafurahia kuona baadhi ya I'd.?

2.Kwa nini ukiona I'd yangu unatamani kupiga ulabu?

3.unajihisi unapata wenzako ambao hawana cha kufanya had waingie online muda huu?
1. Mim huwa nafurah kwa mambo madogo na ya kawaida saan ,SAS baadh ya id nikiziona najikuta nacheka peke yangu

2. Ulishawahi kuniahid kuniletea mbege kutok moshi ila emoj ya glass sikupata

3. Jf ni furaha yangu,,,,,,,back to the QN, kuwa online sio kwamba huna cha kufany ila ni maamuz tu mkuu

Hahahahaha nimekuelewa mkuu....ila kwa hiyo I'd yangu inakuchekesha

Kuhusu mbege I was joking.. Na nilikwambia mkuu maana nisingeweza kubeba pombe wakati situmii
 
Back
Top Bottom