Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Umenichekesha jitahidi labda one day yes utakuwa balozi wa mtaa wenu
Ziondaughter au Binti Sayuni
Sayuni mji mtakatifu wa Mungu ulioteuliwa kwa ajili ya wateule.Waitwao ni wengi lakini wateule ni wachache.
Mwisho ikawaje?Unaweza kumpata kama kweli ulimpenda usikate tamaa, kumbuka milima haikutani lakini binadamu twakutana.
Huwezi amini mie mtu ambaye tulipotezana miaka 13 iliyopita , tumekutana kumbe na yeye hivyo hivyo kama wewe ulivyosema alikuwa ananipenda lakini hakunitamkia chochote. Kumbe alikuwa ananifatilia information zangu kinyemela.
KAITABA, ni uwanja wa mpira upo mkoani Kagera, mama yangu mzazi alikuwa bosi enzi hizo, akiwa anakagua gwaride uwanjani hapo akashikwa na uchungu,
Alipopelekwa chumba cha faragha uwanjani hapo nikazaliwa mimi,
Hakuna njia ya kubadili jina hapa JF.
Ahaa! Ni vyema nami mkaelewa maana ya jina langu MONGOIWE; MONGO inamaanisha Supu na IWE ni jiwe hivyo linamaana ya supu ya Jiwe, jina hili asili yake ni kanda ya Ziwa na linatokana na kabila ya KISUKUMA.
Jina hili mimi kwangu nilipachikwa na babu yangu kotokana na yeye kupenda kunitania lakini pia tabia yangu ya kupenda kukimbilia mlimani kilamara kupanda mawe na majabari ya Mwanza.
Hapana wewe inaonekana ni yale madini yanayowadhuru ndugu zetu kule North maraZebaki - naipenda sayari ya kwanza.
Sipo = hili nililipata wakati nipo Sekondari na hata nilipokuwa UDSM liliendelezwa na washikaji zangu kutokana na tabia yangu ya kuruka matukio pale yanapokuwa magumu kwa kukanusha tu kuwa mie sikuwepo bwana wakati ili linatokea.
Hapana wewe inaonekana ni yale madini yanayowadhuru ndugu zetu kule North mara