Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

"NYALUMANA"**** yenye kubumbu kikubwa hatari
Natumia hili baada ya member mmoja humu kutibua sana na kutaka kujuajua.
So nikiona hii Id namkumbuka huyo kenge.
 
Napapenda sana Marangu na ndio mana nimejipa ubalozi wa uwakilishi, Mr. Marangu
 
huska ni nickname yngu. wakati nilikuwa mdogo nilikuwa napenda kucheza football. nilikuwa ni mtu wa kupenda kupiga chenga sipeani pass .alafu jina langu lenyewe ni refu. ile kuniita niwape pass wameona wafupishe.
 
Eineth ni. Nickname yangu niilpata nilivyokuwa nasoma language form 5 kwenye topic ya speaking ,
 
Ahaa kumbe ndo wewe ...
 
Rapid tranquilization ni procedure ya kumtuliza mgonjwa wa Akili ambae yupo Agressive katika kitengo cha psychriatry au wodi ya wagonjwa wa Akili na mimi ni dkt wa Akili😊
 
Nlikuwa na user name ingine nlijisajili 2009-2010 nkasahau nywila na email ilikuwa ghost email pia...

Nkarud na hii username... Inajieleza
 
Reactions: BAK
Yeah Mimi nahisi ni niizaliwa ili kung'aa kama nyota angavu katika anga wakati wa alfajiri na hili jina huwa linanipa hope maishani

Pia origin yake ilitokana na mtangazaji maarufu wa kipindi cha XXL cha clouds FM ninachokipenda sana ..anaitwa B dozen au Hamisi Mandi because ndio huwa analiita duka lake la nguo ..so nikali copy cz nililipenda
 
Mwandiko wako unaonyesha soon utatoka kwenye uvulana kwenda kwenye ushoga
 
Rashford - Alianza bila kuaminiwa, akaonesha alicho nacho na ulimwengu wa soka ukamfahamu. Alipata Fursa akaitumia.

Lingard - "Hard work pays" hana kipaji halisi cha mpira ila nidham, kujituma na kuto kata tamaa kunaweza kukupelekea ufanikiwe katika mambo yako.
 
Black dove...Njiwa mweusi.
.
I'm a black Tanzanian lady. Proudly Tanzanian and Tutsi.

Naomba kuwasilisha
 
Amatolo hili ni neno la kigiriki maana yake "Great Thinker"
 
Dagagekyeulalwe : wawindaji porini hata simba akiwa anawinda uwa ana deal na ile target yake tu. Mathalani kwenye kundi la nyumbu ama pundamilia akishamtarget mmoja ni anakomaa nae huyo huyo hata kama atajichanganya Kwa wengine atakamatwa yeye tu. Hii dagagekyeulalwe (fukuzia ulichokianzisha) means we should not deviate from the main goal Kwa namna yoyote ile....
 
Reactions: BAK
Kama jina linavyosema, mimi ni mtu wa kujiongeza sana katika kila ninachofanya. Huwa siridhiki kuwa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…