Afrospear
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 267
- 340
Bravo mkuu.Hongera kwa kuwa mzalendo wa kiafrika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bravo mkuu.Hongera kwa kuwa mzalendo wa kiafrika.
"Kibumbu""NYALUMANA"**** yenye kubumbu kikubwa hatari
Natumia hili baada ya member mmoja humu kutibua sana na kutaka kujuajua.
So nikiona hii Id namkumbuka huyo kenge.
Mbona me nakujua Chaliangu na nakuonaga tuMimi hamnioni kirahisi lakini muda wote nipo JF...!
Ahaa kumbe ndo wewe ...Mimi hilo jina langu nilipewa kazini siku ya kwanza nafika najitambulisha Naitwa Madam Shayo kiongozi aksema shayo wengu huwa wanatoka Rombo wahiyo wewe ni product ya huko. kIAL KUKIWA NA KIKAO waaniita we Binti wa Rombo twende kwenye kikao . Hapa ndo mwanzo wa ID yang ilipozaliwa .
Mwandiko wako unaonyesha soon utatoka kwenye uvulana kwenda kwenye ushogaYeah Mimi nahisi ni niizaliwa ili kung'aa kama nyota angavu katika anga wakati wa alfajiri na hili jina huwa linanipa hope maishani
Pia origin yake ilitokana na mtangazaji maarufu wa kipindi cha XXL cha clouds FM ninachokipenda sana ..anaitwa B dozen au Hamisi Mandi because ndio huwa analiita duka lake la nguo ..so nikali copy cz nililipenda