Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Kuna hadi Rais wa CHAPUTA siku hiziRais Wa nini? kuna marais wengi sikuhizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna hadi Rais wa CHAPUTA siku hiziRais Wa nini? kuna marais wengi sikuhizi
Zimefika mkuuWasalimie sana huku Chinga wenzangu,msimu wa korosho umeanza hela nje nje huko
Amen for that🙏Zimefika mkuu
Ndo Maana nikamuambia afafanunue rais Wa niniKuna hadi Rais wa CHAPUTA siku hizi
Kwahiyo ulitaka nijiite kapuku wakati hela ninayo ?Unajiita bilionea unaweza ukakuta hata TIN namba huna, watu wafupi mnatambo sana
Akikuambia yeye ni rais wa nini niTagNdo Maana nikamuambia afafanunue rais Wa nini
Haaahaaa sawa mkuuAkikuambia yeye ni rais wa nini niTag
😂😂 kijana una mkwara sana...Kwahiyo ulitaka nijiite kapuku wakati hela ninayo ?
Ingiza basi hizi token 566534678654 ni za vocha ya buku 10 zikupoze
Na avatar nimechora mwenyewe