Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Trudie jina alinipa rafiki yangu kipenzi ambae alikuwa ananipenda sana kipindi tunasoma advance. On and off za kuonana na kupotezana ila bado nakumbuka jina hili na ninalitumia sehemu nyingi.... Cheusi a.k.a Optimus halaaa from trudie here [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Mwanzo nilikuwa natumia suplexkid kutokana namkubali sana block Lesnar na hii ndo style yake pendwa ulingoni.
Ila badae nikabadili na kujiita Pool Table hii inanikumbusha mara ya kwanza kucheza kamari ilikuwa pool table ambapo nililiwa hela yote niliyokuwa nimeangizwa sokoni siku hyo swez sahau kilichonikuta usiku[emoji23][emoji23]
 
Trudie jina alinipa rafiki yangu kipenzi ambae alikuwa ananipenda sana kipindi tunasoma advance. On and off za kuonana na kupotezana ila bado nakumbuka jina hili na ninalitumia sehemu nyingi.... Cheusi a.k.a Optimus halaaa from trudie here [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Dah hujampataga hadi. Leo
 
Mie huwa sinywi vinywaji vya viwandani, sasa siku ya graduation yangu ya 4m 6, nilijaribu kunywa soda (coca-cola), nlitapika San na kuumwa vibaya, ndo mwanafunz mwenzang akaniita jina hili.

Huwa nkikumbuka nacheka sana, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oohooo jamani my lovely one
 
Safi Sana umenikumbusha mzee wangu. Nae ni hivyo hivyo. Hata ule waraka wa uliotolewa na. Jeshi juzi nilimtumia akawa anahamu sana kujua nini jeshi linataka kuongea akaniambia wakishatoa tamko nimtumie ujumbe maana yupo mbali kidogo

Wow
Nimefurahi at least kuna watoto wetu humu
Bless you
 
Kindikinyer Leborosier
.
.
ni majina ambayo yanabaki kama historia ya mahali ambapo nimepita na kustaajabu mengi, ni vijiji viwili vya mkoa wa Manyara, umasaini Lendikinya na Leboro kule kwa wairak au wambulu!
.
lendikinya ipo monduli juu,na leboro ipo mbulu mama isara chimbuko hasa la wairak
 
Back
Top Bottom