Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Tzniceguy
Tz -tanzanian
Nice - Humble and a nice man
Guy - Dude(Mashikaji)
 
Nimekulia, kulelewa na kusomeshwa kwenye familia ambayo mama yangu alikua anauza pombe aina ya gongo huko kanda ya ziwa, sasa kulikua na kidumu flani ivi kidogo cha ukubwa kama wa lita1 ambacho kilikuwa kinatumika kuhifadhi hiyo pombe ( gongo) kilikua kinajulikana kwa jina la kobombonya. Kwahiyo huwa natumia jina hilo kukumbukia enzi zile bhna[emoji847]. Hatimae kupitia gongo tuliishi,tulisoma na tumekua[emoji108][emoji481]
 
Jina langu Lina herufi tisa,likiwa ni mlolongo watu muhimu kwenye maisha yangu I na T herufi za mwanzo ni baba na mama
 
Nguniani ni majani ya maharage kwetu mbeya ni miongoni mwa mboga pendwa ila kwa upande wangu siipendi sana.
Umenikumbusha wafanyabiasha wa Mbeya wa mboga mboga huimba ili kuita wateja.

Nguniani, figiri, sungwe, maharage, njegere ya mabogaaaaa
 
Voicer for the voiceless....a.k.a... commonmwananchi

Mimi sitaki kuegemea upande kwenye Siasa bali naenda na ukweli zaidi.

Ukiishi kwa kuwategemea wanasiasa wa kiafrika,utazeeka kabla ya Umri.

Naishi kama Msumeno.

Itikadi yangu ni CCM!

Lakini sio lazima nikubali au kusapoti yale yanayofanywa na CCM.

Ninaangalia maslahi halisi ya mtanzania! ambaye ndie mbonyeza Dole Gumba na kisha saa ingine linamgeukia mwenyewe.

Pia ninaungana na mpinzani mwenye sera na hoja mbadala zenye kuonyesha Way - Forward
ya nini kifanyike kwa wakati husika.

Kwa maslahi mapana ya nchi yetu na watoto wetu,pamoja na wale wakongwe kule vijijini.

Siungani na wapinzani wenye kufuatilia maisha binafsi ya watu.

Au wale wanaoshangilia Vifo na Majanga ya wenzao kisa tu wana mawazo au mlengo tofauti wa kisiasa.

voicer.......
 
Nlikuwa napenda Sana series ya jumong .....akiipambania Goguryeo isimame tena ....
ndo maana nikajiita Goguryeo
 
THREE PHASE ni neno ambalo lina tumika kwny umeme
Nasomea umeme Napia napenda umeme ndio maana nikajiita hivyo
 
Rikiboy... it is what it is and you know it...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom