Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Nimelitoa kwenye movie ya kihindi inayoitwa udaan (Kama sijakosea)alikuwa ni main character wa hiyo movie.ni mtoto mchangamfu sana na mcheshi muda wote(mwanzoni mwa movie)hata ukimkosea anapoteza furaha baada ya muda baada ya hapo anarudi kwenye maisha Yake ya uchangamfu,furaha/ucheahi na upendo

Ni movie ndefu sana utafikiri treni ya kwenda mbinguni.
Sikuwahi kufifikia katikati wala kuimaliza

Ooh!

Bahati mbaya mimi si mpenzi wa filamu za Wahindi, vinginevyo ningeweza kumuona Chakorii huko ☺️

Lakini kwa sifa hizo ulizotaja, itoshe kusema zinaendana nawe mujarabu kabisa mdada mrembo 😊
 
Ooh!

Bahati mbaya mimi si mpenzi wa filamu za Wahindi, vinginevyo ningeweza kumuona Chakorii huko ☺️

Lakini kwa sifa hizo ulizotaja, itoshe kusema zinaendana nawe mujarabu kabisa mdada mrembo 😊
Nimeiweka picha Yake kwenye comment 👆🏿Baada Ya wewe kureply..

😃kuna wakati yes kuna wakati kauzu😁😁
 
Mimi Ni Shabiki Wa Dar Es Salaam Young Africans Na Ninamkubali Sana Yannick Bangala A.K.A Mzee Wa Kazi Chafu Au Wachezaji Wawili Ndani Ya Mtu Mmoja, What A Player..![emoji4]
 
Nimeiweka picha Yake kwenye comment 👆🏿Baada Ya wewe kureply..

😃kuna wakati yes kuna wakati kauzu😁😁

Nimeona kipenzi, she has a nice smile, bila shaka nawe pia ☺️, nime imagine na lafudhi zenu zile za kaskazini za kuvutia maneno haswa kwa watu wa Arusha na Moshi ☺️

Wanadamu sote ni mchanganyiko wa ukauzu na utu wema, bahati mbaya kuna wengine asilimia za ukauzu huzidi zile za utu wema na hugeuka kuwa mabandidu...
 
Yawezekana Watu8 .
Unaweza kumsoma mtu kupitia mwandiko?nakuruhusu nisome unapatie majibu.

Naweza kusema Niko hivi ama Niko vile kumbe ikawa tofauti na watu wanavyonitazama/nisoma kwa mwandiko

Nasubiri majibu uncle dereva wangu😊😊😉😉😉
 
Hakuna cha Dimwit hapaa Pumbavu!!!
Angalia ulivyo Juha yaani kwa Kuniogopa umeacha kuitumia ile ID yako zoeleka hapa Jamiiforums ili isipigwe BAN kwa Kunitukania na umeamua kuja na hii ID ambayo huwa huitumii sana ili Unishambulie nami nikujibu hovyo kisha nipate BAN uridhike.

Nikiwadharau kwa Kuwaambieni kuwa hamna Akili msiwe mnabisha au mnakataa sawa? Yaani ID moja tu hii ila inawateseni hadi Kuhangaika nami hivi.
 
Back
Top Bottom