Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Za nini zote Hizo
Zote xina uhusika tofauti na zipo majukwaa tofauti tofauti,

Ndo maana hii id kuna majukwaa haiwezi kugusa,

zingine ni za back up incase nikipigwa ban,

zingine ni za biashara,

zingine zipo siasa,

zingine ni za kusumbua watu,

zingine ni za kudhalilisha baadhi ya watu humu,

zingine ni za neno la Mungu,

zingine zipo neutral
 
Mimi ye34nbe maana yake

Ye = kanye west ni role model wangu na yeye anapenda kujiita ye kama nickname.

34 = nina account/id 34 humu jf.

Nbe = mimi ni mrefu napenda basketball ☺️☺️☺️☺️

Eti dada jina lako lina maana gani ☺️🤗🤗🤗😍. Au unapenda kunibusu mdogo wako 😆😆😆😉 🤗🤗🤗🤗🤭🤭
Huwa unacheza basketball?,siku mkicheza nitakuja kukuangalia 😊
 
Zote xina uhusika tofauti na zipo majukwaa tofauti tofauti,

Ndo maana hii id kuna majukwaa haiwezi kugusa,

zingine ni za back up incase nikipigwa ban,

zingine ni za biashara,

zingine zipo siasa,

zingine ni za kusumbua watu,

zingine ni za kudhalilisha baadhi ya watu humu,

zingine ni za neno la Mungu,

zingine zipo neutral
Kudhalilisha watu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
De professor 😃
Kwanza nasikitika sasahiv profile yangu inasomeka kama senior member, ila ningekua expert maana Account yangu ya mwanzo nilipoteze Psswrd na recovering email nayo sikuwa na Psswrd basi nikaitoa sadaka.
nilifungua mwaka 2010 hapo natumia ki Sony Erricson na nilikua nashusha uzi kali kali nilikua nafukuzana na kina mshana Jr, ila ngoja nisiiseme ile Account.

This time hii mpya nilikua empowered na Jamaa wa Le Cassa 😃, Money Heist.
Kuna vitu tunaendana kasoro wizi tu.
Ila uwezo mkubwa wa kufikiri na kutatua changamoto, Elimu pia japo si kiwango hiki ila walau bado hatua chache sana kuifikia nikienda class.
So vile kuwa Multi purpose, Multi talented na High capability ya kusolve changamoto nika ji bless mwenyewe.
 
Jf ni jukwaa pekee lenye usiri kwa kuwa tunatumia majina yasiyo halisi.

Hali hii inatufanya tuchat kwa raha maana UZI anaweza kuanzisha mkeo au mumeo na usijuwe ni nani.

Kitu cha kushangaza ni aina ya majina tunayotumia, mengine ukisoma unacheka, mengine huyaelewi, lakn inawezekana wengine yana maana pia.

Je ulitumia cku ngap kupata jina hilo.

Mimi nilijiunga humu nikaa kwanza kama wiki bila kufanya usajili nasoma comment tu na kusoma upepo, nikabaini humu wote ni watu wasiojulikana na wenye majina mapya.

Hivo nikawaza jina baada ya muda nikalipata.

Je wewe ilikuwaje kupata jina lako?????
 
Back
Top Bottom