Je, Jua ni Mungu?

Mkuu unataka kusema kwamba tulizaliwa tukiwa na mawazo ya kwamba hakuna mungu?


Mkuu tulizaliwa hatuna wazo lolote kama kuna Mungu au Shetani...ni vitu tulikua hatuvijui kabisa.

Na infact,kisayansi mtoto anaanza kutambua mazingira yake walao kuanzia miaka mitatu.Hapo ndio wanadamu wakubwa wanaanza kumjaza wanayoyajua wao.

Watoto wote wanaozaliwa ni atheists,hawana dini,hawajui if there is anything called God or Devil,they do not know and they do not care!
 
Mkuu navyojua mie atheist anadai hakuna mungu,sasa ukisema tunazaliwa tukiwa atheists ndipo unaponishangaza.
 
I GOT SOMETHING HERE
 
Mpwa..kwa concept ya kuumbwa na kwa kutumia spiritual energy sisi tuna uungu ndani yetu maana Mungu ni spiritual energy pia.

Nakubaliana na kauli yako ila nataka ujue yupo mmoja ndio the most supreme being..The God.
HATA WATU HUZIDIANA MAMBO MENGI MKUU,HIVYO BASI SUPREME YUPO.
 
YAAP SISI NI MATUNDA YA WAZAZI WETU NA AU WALIOTULEA TULIKUJA WATUPU TUKAJAZWA TUYAJUAYO NA WALIOTULEA AU KUTUFUNDISHA.NDIO MAANA KUNA USEMI WASEMA KICHWA CHA MTOTO NI KAMA BOKSI TUPU JINSI UTAKAVYOLIPANGA NDIVYO LITAKAVYOTOSHEA.
 
kuna nguvu flani tunapata kutokea ktk hiyo ni sawa, lakini Jua kuwa Mungu si sawa kwa imani yangu
 
Kabla ya kujibu ndiyo ama hapana lazima ujiulize maswali yafuatayo:-

#1 Mungu ni nini?
#2 Sifa za Mungu ni zipi?
#3 je , Mungu ana chanzo?

Maswali hapo juu ni conflictive questions ambazo zinahitaji hoja thabiti kuzijadili, hivyo nitatoa mwishoni hitimisho langu(jibu).

[HASHTAG]#1MUNGU[/HASHTAG] NI NINI?
Kwa ufahamu wangu, Mungu ni UWEPO usiodhihirika mwanzo wake wenye kuathiri mazingira / mifumo mingine. Hii INA maana kuwa, Mungu hadhihiriki mwanzo wake, lakini anadhihirika kwa matokeo ya uwepo wake.

#2 JE SIFA ZA MUNGU NI ZIPI?
Sifa kuu ya/za Mungu ni UWEZO MKUU.
Ifahamike kuwa Mungu ni cheo au hadhi, hivyo basi ili sifa hii idhihirike lazima kuwepo na matokeo makuu ya uwezo wa Mungu mfano uumbaji.

[HASHTAG]#3JE[/HASHTAG], MUNGU ANA CHANZO?
Hapa ndipo penye utata mkubwa sana hii inadhihirisha kuwa sisi wanadamu kuna mipaka ya uwezo wetu kimaarifa au ufahamu( perceiving).
Jambo hili hudhihirisha ukomo wa uwezo wetu dhidi ya Mungu

Kwa sifa/maswali hapo juu jibu ni HAPANA JUA SI MUNGU.
jua ni tanuru (wingu) la muunguzo wa gesi za Hydrogen, Helium n.k zinazouungua katika mfumo wa nyukilia na kuzalisha nishati kubwa za joto ( heat energy ) na mwanga(light energy).

Kwa mantiki hiyo utofauti wa Mungu halisi na jua umeonekana wazi kuwa jua linachanzo chake kitokanacho na miunganiko ya gesi zinazoungua lakini chanzo cha Mungu hakifahamiki.
Jua ni matokeo tu ya nguvu Fulani, lakini Mungu ndiyo chanzo cha hayo matokeo ( the factor of essence).
Asante.
 
DAH ok kumbuka jua hili tunaloliabudu ni moja ya majua madogo sana kwenye ulimwengu ukisema hili jua ni mungu maanayake ni mungu mdogo katika miungu jua trilion iliopo ulimwenguni ..Mungu ni mmoja tu ukisema mungu ni jua watakuwa wengi solar system haipo moja zipo nyingi ..Haya maswali na hoja kama hizi nabii ibrahimu alijiuliza sana na majibu akapata primitive society ziliabudu jua sana tuuu..
-jua linafanya kitu kinaitwa nuclear fussion na fission simultaneous..ndani ya jua hakuna lolote ispokuwa hydrogen atom na helium ..hydrogen inachange to hellium then hellium to hidrogen kitendo cha changing of atom to another kinafanya kurelease energy ambazo ni saund light and heat.
-asubuhi tunashauriwa kupata miozi ya jua kwa sababu jua likipiga mwilini linastimulet diposition ya calcium ion kwa ajili ya kuimarisha misuli,mifupa na neurons (mishipa ya fahamu) na brain cell..hivyo inafanya uwe timamu.
 
Mkuu navyojua mie atheist anadai hakuna mungu,sasa ukisema tunazaliwa tukiwa atheists ndipo unaponishangaza.


Hapana,atheists hasemi hivyo.....atheist ni mtu ambae ile "imani" kua kuna mungu haipo..yaani kwenye kiboksi cha imani kua mungu yupo hakina kitu,ni empty....yaani kiboksi cha "imani" ni empty kabisa...

Kuna watu wana-confuse mwenye "imani" mungu yupo ni mshika dini na atheist ni mwenye "imani" mungu hayupo....hiyo ni kosa...Atheism ni kua kipengele cha "imani" ni empty kabisa!

Sisi hatuna "imani"..nyie ndio wenye "imani"...yaani "faith".....
 
Inawezekana wewe ndiyo ukawa atheist wa aina hiyo mkuu na si kwamba watu ndiyo wanachanganya kuhusu atheists,hata hivyo maelezo yako hapo juu ni sawa na kuumanisha kuwa atheists ni watu wasioamini uwepo wa mungu. Sasa mtoto asiyejua lolote utasemaje haamini mungu?
 
Huwa nashangaa sana yaani binadamu inafikia hatua gani hadi anakuwa haamini Mungu?

Licha ya maajabu na ishara kibao zilizopo Duniani. Mtu anaona nyumba imejengwa vizuri anasifia wajenzi lakini akiona mito na milima na mabonde haamini kama kuna architecture mjenzi alie engineer ujenzi wa anavyoviona. Bado anasema hakuna Mungu.

Mungu atusamehe!
 


Usiweke neno "wasioamini"...sema hivi the component of Imani is NOT there,ni zero.....Ukisema "wasiomini" ni kwamba "wanaamini hakipo"...sisi Atheists hatuna msamiati "imani" at all.
 
Usiweke neno "wasioamini"...sema hivi the component of Imani is NOT there,ni zero.....Ukisema "wasiomini" ni kwamba "wanaamini hakipo"...sisi Atheists hatuna msamiati "imani" at all.
Sasa tofauti ipo wapi mkuu mbona kama unatumia nguvu nyingi kukataa jambo lililowazi?

Suala la uwepo wa mungu linahitaji imani na nyie hamuuamini.

Halafu kiuhalisia hakuna asieamini au kutokuwa na imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…