Je, Jua ni Mungu?

Jua si Mungu kwa sababu linatokana na elements/burning gases.Na hizo gesi zilitengenezwa na nani?
God is mighty.. Mungu anatisha sana..na utisho wake ni ule ule wa jua maana moto na nguvu inayozalishwa pale kwenye jua kwa siku moja ni umeme toka kuanzishwa kwa dunia takribani 386 billion billion of energy per day.

Mungu ni hatari Sana.
 
hahahaaa hata wanawake what ?? hahaaa
 
hahaaaa MUNGU HUYU KUMUELEWA MPKA UWE MTAALAMU WA ALGEBRA
 
aiseeee ...
 
wayaaaaaaa ...daahhhh huwa nakuelewa mnoo mpwa
 
Mkuu unataka kusema kwamba tulizaliwa tukiwa na mawazo ya kwamba hakuna mungu?
mkuu ulipozaliwa wakati una siku 2 tangu uje duniani ulikuwa wamjua hata mama yako??
sasa kama mama yko ulikuwa humjui vipi kuhusu MUngu??
 
soma aya ya 1.
mkuu haya maneno ..sihata wewe waweza kuyaandaa na kuyasambaza katika vyanzo mbali mbali ..sasa hizo bahari zikawaka moto zote ..hapa duniani sipatakuwa pameenea moshi mahali pote ...
 
Tatizo unajaribu kumtafuta mungu,kwaakilizako na usomiwako ,unataka kuniambia sisimizi ajuejinalako,ajuemwaka uliozaliwa ,amjue,baba yako,amjue na mamayako,ajue kijijiulicho tokea ,namwaka uliozaliwa ,kama sisimizi hatoweza kujua historian yako wakati we we hujamuumba Basi we we utajipashida kumtafuta aliekuumba,kwausomi wako utaishia kufananisha vitu unavyo vionavyaajabu kuwa nimungu,ukwelinikwamba kamaulivyoumbwa we we navyo pia vimeumbwa ili vikusaidie uwepowako na ustawi,,,,Mimi simsomi,ilaunajipa kazi kubwa ,kumtafuta mungu
 
Wewe kuna nyota gani kubwa zaidi kuliko jua huko kwenye universe!?

Niambie?
Kuna VY canis majoris kubwa Mara 2100 kuliko jua pia angalia supergiant stars ,kutoka duniani kwenda huko kuna 4900 light years ikumbukwe mwanga unatoka kwenye jua kuja duniani kwa dakika nane..unaweza kuimagine umbali utakaosafiri ndani ya mwaka mmoja na baadaye miaka 4900
 
Jua is one of the stars in our milk way. Hizi nyota zote unazoziona ni kama jua ila zenyewe nyingi ni kubwa kuliko jua letu. Kwenye solar system yetu ndo tuna nyota hii ambayo kuna sayari nane zinaizunguka. Nasema nane sababu Pluto walii disqualify kuwa sayari wenyewe wanasayansi. Sasa Hesabu nyota zote ambazo zipo angani uzipe UMUNGU. Meaning tuna Miungu maelfu na kusaza. Lakini wengine wanaabudu Miti mikubwa, maziwa, ng'ombe na vitu tofauti kama miungu yao. Wapo wanaoamini kuwa hakuna Mungu ila kadri unavyotenda mema ndo unajiongezea tick ya kutorudi tena duniani ukiwa kiumbe tofauti.
cc: mshana jr.
 
Unataka umuone ndio maana brain yako inakutuma utukane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…