Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
- Thread starter
- #101
God is mighty.. Mungu anatisha sana..na utisho wake ni ule ule wa jua maana moto na nguvu inayozalishwa pale kwenye jua kwa siku moja ni umeme toka kuanzishwa kwa dunia takribani 386 billion billion of energy per day.Jua si Mungu kwa sababu linatokana na elements/burning gases.Na hizo gesi zilitengenezwa na nani?
Mungu ni hatari Sana.