mkuu naamini uwepo w mungu ..lakini Nina mashaka na mapokeo ya hiz dini ambazo ndio zilizotumika kutufikishia hzi habari za mungu ...nimetumia neno hilo la fiction iliiweze kuwa rahisi kueleweka juu yakile nilichotaka kuwakilisha ...Wewe unasimama wapi kuhusu hii unayoiita fiction ya Mungu?
Unaamini katika uwepo wake?
Kama unaamini uwepo wa Mungu basi unaqualify kuwa binadamu anaetumia vizuri ubongo wake kufikiri maana ni consciousness na unconsciousness ndio zinatufanya binadamu kuwa exceptional and special.mkuu naamini uwepo w mungu ..lakini Nina mashaka na mapokeo ya hiz dini ambazo ndio zilizotumika kutufikishia hzi habari za mungu ...nimetumia neno hilo la fiction iliiweze kuwa rahisi kueleweka juu yakile nilichotaka kuwakilisha ...
Nafikiri hoja yangu imeeleweka kuwa mtoto kutomjua mama yake haina maana ya kwamba anajua hakuna mama,hii ndiyo point ya msingi.afadhali ya mama hata kama hutomkuta lakini utawaona wenzako ambao wenye mama zao ama kuziona pictr za huyo mama yako ..so hakutokiwa na nguvu kubwa inayopaswa kutumika kukujengea imani kuwa wewe ulizaliwa na mwanamke ambaye unapaswa kumuita mama ...ila kuhusu habari za Mungu mpka leo kwa wengine zimebaki kuwa fiction tu achilia mbali nguvu kubwa iliyotumika yakuwapeleka makanisani na misikiti ili wapate kujifnza habari zakumuhusu Mungu huyo
hahahaaaaa haya mkuu ...nimekuelewa mnoooKama unaamini uwepo wa Mungu basi unaqualify kuwa binadamu anaetumia vizuri ubongo wake kufikiri maana ni consciousness na unconsciousness ndio zinatufanya binadamu kuwa exceptional and special.
Mbuzi hata akisema hakuna mungu ni sawa maana hana upendeleo kama wetu sisi binadamu katika kufikiri.
Dini za kimapokeo zina challenge nyingi sana na wengine wenye Nia mbaya wametumia kuwa kuwakandamiza wengine. Na wengine wametafsiri vibaya na kuwaumiza wengine.
That's why nawakubali sana wanaoabudu jua maana malengo yao ni positive.
sawa nimekuelewa ..Nafikiri hoja yangu imeeleweka kuwa mtoto kutomjua mama yake haina maana ya kwamba anajua hakuna mama,hii ndiyo point ya msingi.
Halafu kwanza kabisa unapaswa kuelewa kuwa suala la uwepo wa mungu linahitaji imani,sasa kama wewe umeshindwa kuona dalili za kukufanya uamini uwepo wa mungu hilo ni suala lengine kabisa.
Nashukuru.sawa nimekuelewa ..
Nianzie wapi kwenye proof maana zipo nyingi be spesificZitoe hapa,tuone vichekesho vya karne!
Unakumbuka tukio la kupatwa kwa Jua?All Writtings kuhusiana na
- Ukubwa wa jua
-Components za jua
-umbali wa jua kwa kila sayari, (mfano kusema kuna 150kms mpaka duniani)
Zote hizo hazina Ukweli na Uhakika.
Kwasababu sisi hapa duniani tunaungua sana na jua mpaka watu wengine wanatokwa na damu puani na mazao yanakauka ilihali Jua lipo mbali sana na tena kuna Ozone layer hapo juu.
SWALI: Wanaosema jua lina Helium, Hydrogen etc na kwa asilimia zake walipimaje?
Ni akina nani waliopima size ya jua na kujua kuwa dunia inaingia mara 3,000,000 ?
FactGod could be anything depending on your level of comprehension
Hebu tupe fact in issue sasa mkuu. Hata picha kusupport your notion.ivi unajua kuna bilion za jua nazo zina solar system zake na sayari zake pia jua letu na sayari zake ni kikundi ki1 tu..
tafuta mambo ya miliky way pamoja sayari zote na jua letu ni kikundi ki1 tu kuna vikundi vingine pamoja na jua zao pia
I don't go to church, they say the body is the temple I'm walking with the church now.Who is God!? God among Us. Nazani messiah alisha fafanua kuwa Mungu ni Roho na Wamuabudio harisi watamuabudu katika roho na kweli.
Mwili wako Ndiyo hekalu la Mungu. So don't get twisted. The true religion is LOVE.
I don't Go to church either[emoji2][emoji2]I don't go to church, they say the body is the temple I'm walking with the church now.
God is energy and energy can never be created nor destroyed..for that case God is sun since sun is the cosmos energy of spiritual being.
How sun goes down? Jua lilipo limesimama alitembei sasa Joshua alisimamishaje kitu kisichomoves mkuu?Sun can goes down but God will not. Joshua aliwahi kulisimamisha jua, mwanadamu hana uwezo huo. Musa alimuuliza Mungu wakiniuliza niwaambie ww ni nani. Jibu la Mungu lilikuwa hili "mimi nipo ambaye niko" jua wanyama na other universal bodies ni utukufu wake. Ila Mungu yu ndani yetu.