Je JWTZ wako tayari kumlinda aliyevunja Katiba?

Wewe ndio kichwa panzi hujitambui pamoja na kwamba umo ndani ya joka la kijani.
1. Hakuna mtu anayepinga kwamba mkutano mkuu wa chama chenu cha maovu ndio wenye maamuzi ya mwisho
2. Kinachohojiwa ni kwamba je, utaratibu ulizingatiwa?
3. Tangazo lilitolewa lini na nani aliomba ueteuzi kuwa mgombea wa kiti cha urais?
4. Kamati kuu ilipelekewa jmajina au jina wakajadili na kubariki pendekezo?
5. Lini Halmashauri kuu ya taifa ilipelekewa majina au jina pendekezwa wakajadili na kupitisha jina hilo kisha kupeleka kwenye kikao cha juu zaidi
6. Wagombea au mgombea alichukua Fomu ya kugombea lini na akatafuta wadhamini angalau 200 kwa mikoa 10 Tanganyika na Zanzibar kwa pamoja kisha kurejesha Fomu hizo chamani zikiwa zimekidhi udhamini unaotakiwa?
7. Siku ya kikao cha mkutano mkuu kilichokuwa na ajenda ya kujaza nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama kwanini ajenda ya uteuzi wa jina la mgombea wa ccm kwenye nafasi ya urais haikuwemo ili wajumbe waliotishwa wangejiandaa kutafakari kwa kujadili na kupitisha au kupinga?

CCM ndio ndio genge la uvunjifu wa sheria, kanuni, taratibu, utamaduni na katiba ya nchi kwa kujikweza kwamba wana hati miliki ya Tanzania kitu ambacho sio sahihi. Mmekosea....period!!
 
Sipendi mambo ya kona kona yenye kupoteza muda,rais atakaa madarakani kwa vipindi viwili tu,vya miaka mitano mitano jumla miaka kumi,bila kuzidiaha kipindi kingine!
 
Ndugu Wana ukumbi
Nina swali kwenu , Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi ?

Wakati wao huapa kuilinda Katiba ya nchi ?
Ibara na Kifungu gani cha katiba vimevunjwa mkuu
 
Ndugu Wana ukumbi
Nina swali kwenu , Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi ?

Wakati wao huapa kuilinda Katiba ya nchi ?
Mabeyo meja jenerali na kiongozi mkuu mstaafu wa JWTZ alihakikisha anaapa na kuwa rais.

Watu wa hayati JPM mna kazi kubwa ya kujenga hoja za msingi zenye kuweza kueleweka kwa mtu wa kawaida kwamba Samia kavunja katiba.

Mengi makubwa anayoyafanya nchini mpaka muda huu ni majibu tosha kwa roho mbaya zenu.
 
Sipendi mambo ya kona kona yenye kupoteza muda,rais atakaa madarakani kwa vipindi viwili tu,vya miaka mitano mitano jumla miaka kumi,bila kuzidiaha kipindi kingine!
Kwa iyo mama yenu anastahili kua candidate au hastahili ,jibu swali bila kona kona kama ulivyo jimwambafai
 
Hu kilaza soma vizuri , usikurupuke, JWTZ wanalinda nchi nani hajui , umesoma vizuri nini nimeandika au povu tu umeamua kutoa, tueshimiane hujui Dunia
 
unazungumzia chombo kipi cha usalama wakati chombo kikuu cha usalama wa Rais na nchi kinatokea JWTZ.
 
Kuna majitu mengine humu hata namna ya kutumia mtandao huu hayajui yapo kuparamia watu tu, kabla ya kujiunga jf ni vyema kwanza kuutembelea mtandao huu kwa mwaka mzima then ndo unajiunga , jf ni nipagum sana utapokelewa kadri unavyokuja , hii ngoma sio Facebook, mostly great thinkers are here , niangalizo tu natoa
 
Kwani Slow slow ni CHADEMA huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…