Je JWTZ wako tayari kumlinda aliyevunja Katiba?

Kuna tatizo la kikatiba mbele kama hali itabaki hivi na ule unabii wa nchi kuendeshwa kijeshi unaweza kutimia , Je ni coincidence au planned?
 
Kipindi Rais anasema katiba ni kajitabu tu JWTZ walitoa tamko lolote kwani?
Kama hamna basi wanaweza kufanya hivyo muda wowote mahali popote kwenye Nchi hii.

Yule muuza madafu si tulimuona siku ya maandamano ya chadema kavaa mavazi ya police?

Huyohuyo si alionekana kwenye maonyesho kama komando wa JWTZ?

Unafeli wapi mkuu
 
Kikweta ndiyo mwenye maamuzi ya mwisho,siyo tu kwa kutuchagulia nani awe fulani bali ni pamoja hata na kwa maisha ya wenzake nani aishi au nani afe
 
Kasome kwanza katiba ya Jamhuri ya Muungano ibara ya 38 Kisha uje na ngonjera zako hapa
 
Huyo kora nyekundu mstaafu hakuwa mzalendo, alinyamazishwa kwa kupewa cheo dhariri tena kwenye eneo la nchi ambalo kuna utata mkubwa kufurushwa wenyeji na kupewa wageni.
 
Kikweta ndiyo mwenye maamuzi ya mwisho,siyo tu kwa kutuchagulia nani awe fulani bali ni pamoja hata na kwa maisha ya wenzake nani aishi au nani afe
His fate is fast loading as well; it is just a matter of time to materialize at the Almighty's discretion.
 
Wapi nimetaja Jw katika andiko hili ,pumbavu
Duh ngoja nikuelewesh af mpumbavu ata julikana

Vyombo vya ulinzi vyote vipo chini ya CDF huyu ndio mwenyekiti wa vyombo vya ulinzi vyote vipo chini yake so jambo lolote linalo husu ulinzi lina anzia kwake
 
Ukijichanganya tu wanaruka na wewe🤣🤣🤣
 
Wanaohoji uharamu wa mchakato wa kumpitisha kimagumashi Samia kuwa mgombea ni wanaccm wenyewe wala siyo Chadema, nyie hata waume zenu wakishindwa kuwatieni mimba mnaisingizia Chadema.
 
Hu kilaza soma vizuri , usikurupuke, JWTZ wanalinda nchi nani hajui , umesoma vizuri nini nimeandika au povu tu umeamua kutoa, tueshimiane hujui Dunia
We unaijuaje hyo dunia wakati hata paspoti ya kusafiria inawezekana hauna!
SIPIGWAGI HIZO BITI ZA KIKUDA HIVO!
 
Chombo cha Ulinzi ndio Jeshi. Vyombo vingine kuanzia kile cha ofisi ya rais na vyote vya wizara ya mambo ya ndani vinaitwa vyombo vya usalama.
 
Usitishe watu wewe!
Ukileta uchwara, utajibiwa kichwara
Ukileta hoja utajibiwa hoja...

WE UNATOA ANGALIZO KAMA NANI?
UNADHANI JF NI KAMATI KUU YA CHADOMO?
UJINGA MTUPU,
 
Ndugu Wana ukumbi
Nina swali kwenu , Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi ?

Wakati wao huapa kuilinda Katiba ya nchi ?
JK mpuuzi mkubwa!
 
Je unabii wa Tanzania kutawaliwa kijeshi unaenda kutimia?
 
Msiwaingize wanajeshi wetu kwemye mambo yenu ya chama.
Mhhh! Hauwezi kutenganisha wanasiasa, nchi na katiba na Jwtz. Wanasiasa ndo wanabeba nchi, wameapa kuilinda katiba, jeshi nalo linalinda nchi na limeapa kwa katiba. Inawezekañaje wakakaa kimya na kuacha katiba ya nchi ichezewe kwa masrahi ya mtu/kundi la watu wahuni?

JWTZ wanao wajibu wa kuliona hili na kimsingi wanatakiwa kuelekeza mahitaji ya katiba na nchi yetu hasa kipindi mambo yanakaa namna hii
 
Ndugu Wana ukumbi
Nina swali kwenu , Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi ?

Wakati wao huapa kuilinda Katiba ya nchi ?
Aiseeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…