Ccm wao sawa ila Chadema noo...kuweni wangwana nyinyi wafuasi wa ccm.CHADEMA KWELI NYIE NI VICHWA BANGE,MKUTANO MKUU NDIYO WENYE MAAMUZI YA MWISHO NDANI YA CHAMA NA MAAMUZI YAKE NI YA MWISHO!,KWANINI MNAJISUMBUA BURE KUTAKA KUCHONGANISHA WATANZANIA?,CCM NI CHAMA CHA KISIASA,KINA TARATIBU ZAKE,KINAWEZA KUPINDISHA KATIBA YAKE KIKIONA KUNA ULAZIMA NA TIJA ENDAPO SUALA HUSIKA LITASAIDIA KUOKOA MUDA,HATA CHADEMA MMAWEZA KUAMUA LOLOTE ENDAPO WAJUMBE WENU WATATIMIA KATIKA KUFANYA LILE AU BADILIKO MNALOKUSUDIA.
Ukumbi gani?Ndugu Wana ukumbi
Mapinduzi yatafanywa na wanaccm wenyewe na siyo jeshi.Au ndio mwanzo wa mapinduzi?
Jibu mmepataThe presidaa
Usijidanganye msajili aione chadema inafanya kama Chama tawala aiache haitakokeaCHADEMA KWELI NYIE NI VICHWA BANGE,MKUTANO MKUU NDIYO WENYE MAAMUZI YA MWISHO NDANI YA CHAMA NA MAAMUZI YAKE NI YA MWISHO!,KWANINI MNAJISUMBUA BURE KUTAKA KUCHONGANISHA WATANZANIA?,CCM NI CHAMA CHA KISIASA,KINA TARATIBU ZAKE,KINAWEZA KUPINDISHA KATIBA YAKE KIKIONA KUNA ULAZIMA NA TIJA ENDAPO SUALA HUSIKA LITASAIDIA KUOKOA MUDA,HATA CHADEMA MMAWEZA KUAMUA LOLOTE ENDAPO WAJUMBE WENU WATATIMIA KATIKA KUFANYA LILE AU BADILIKO MNALOKUSUDIA.
Samia yupo kikatiba. Mabeyo atakumbukwa na vitabu vya historia aliamua kuheshimu mtiririko wa kikatiba katika suala zima la kuhakikisha Samia anamrithi hayati JPM.Huyo kora nyekundu mstaafu hakuwa mzalendo, alinyamazishwa kwa kupewa cheo dhariri tena kwenye eneo la nchi ambalo kuna utata mkubwa kufurushwa wenyeji na kupewa wageni.
Kama yuko kihalali kwa mjibu wa katiba (by default) kwanini ameharibu mchakato wa kumtafuta mgombea kiti cha urais kwa kujiteua kisha akampa Mmkwere kumtangaza bila kufuata utaratibu?Samia yupo kikatiba. Mabeyo atakumbukwa na vitabu vya historia aliamua kuheshimu mtiririko wa kikatiba katika suala zima la kuhakikisha Samia anamrithi hayati JPM.
Wajinga na wabinafsi walitaka tuingie gharama nyingine za kufanya uchaguzi wakati miezi mitano kabla tulikuwa tumemchagua JPM kuwa rais wa JMT.
Kusanyeni wajumbe toka mikoa yote mfanye mkutano wa dharura wa kutokuwa na imani na mwenyekiti na atoke kwenye chama anaua chama waziwazi kwa misimamo yale isiyo na tija yoyote!...Usijidanganye msajili aione chadema inafanya kama Chama tawala aiache haitakokea
Sasa atavijiluaje!?Dogo unapenda kuropoka vitu usivyovijilua?
Huo mchakato ungepunguza kitu gani katika wasifu wake wa kisiasa?, mwenyekiti wa CCM ana nguvu na ushawishi mkubwa sana nchini, usidanganywe na hizi story za whatsapp na instagram.Kama yuko kihalali kwa mjibu wa katiba (by default) kwanini ameharibu mchakato wa kumtafuta mgombea kiti cha urais kwa kujiteua kisha akampa Mmkwere kumtangaza bila kufuata utaratibu?
Hajavunja katiba ya nchi, mjifunze kutofautisha chama na serikali.Ndugu Wana ukumbi,
Nina swali kwenu, Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi?
Wakati wao huapa kuilinda Katiba ya nchi?
Anajua vitu vya kijinga tu kama wewe.Sasa atavijiluaje!?
Uwezo wako ni mdogo kutambua haya , mgombea wa urais hawezi kupitishwa huku Bunge likiwa hai lazima livunjwe kwanza , Yeye kajipitisha 19 Jan 2025 Bunge likiwa halijavunjwa yaani hadi Sasa ni ubatili wa Katiba mchakato wa wabunge CCM ukiendelea wakati bumge halijavunjwaHajavunja katiba ya nchi, mjifunze kutofautisha chama na serikali.
Yote yamefanyika jaji Mutungi amekaa kimyaWewe ndio kichwa panzi hujitambui pamoja na kwamba umo ndani ya joka la kijani.
1. Hakuna mtu anayepinga kwamba mkutano mkuu wa chama chenu cha maovu ndio wenye maamuzi ya mwisho
2. Kinachohojiwa ni kwamba je, utaratibu ulizingatiwa?
3. Tangazo lilitolewa lini na nani aliomba ueteuzi kuwa mgombea wa kiti cha urais?
4. Kamati kuu ilipelekewa jmajina au jina wakajadili na kubariki pendekezo?
5. Lini Halmashauri kuu ya taifa ilipelekewa majina au jina pendekezwa wakajadili na kupitisha jina hilo kisha kupeleka kwenye kikao cha juu zaidi
6. Wagombea au mgombea alichukua Fomu ya kugombea lini na akatafuta wadhamini angalau 200 kwa mikoa 10 Tanganyika na Zanzibar kwa pamoja kisha kurejesha Fomu hizo chamani zikiwa zimekidhi udhamini unaotakiwa?
7. Siku ya kikao cha mkutano mkuu kilichokuwa na ajenda ya kujaza nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama kwanini ajenda ya uteuzi wa jina la mgombea wa ccm kwenye nafasi ya urais haikuwemo ili wajumbe waliotishwa wangejiandaa kutafakari kwa kujadili na kupitisha au kupinga?
CCM ndio ndio genge la uvunjifu wa sheria, kanuni, taratibu, utamaduni na katiba ya nchi kwa kujikweza kwamba wana hati miliki ya Tanzania kitu ambacho sio sahihi. Mmekosea....period!!
Ni kifungu gani kwenye katiba ya nchi kimevunjwa mkuu?Ndugu Wana ukumbi,
Nina swali kwenu, Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi?
Wakati wao huapa kuilinda Katiba ya nchi?