Je JWTZ wako tayari kumlinda aliyevunja Katiba?

Ndo nashangaa mpaka muda huu wako kimya kana kwamba wametususia wananchi.
 
Wewe hujielewi. Unajua maana ya katiba?
 
Wewe hujielewi. Unajua maana ya katiba?
KATIBA YA NCHI,AU KATIBA YA CHAMA NA WANACHAMA WAKE?,
Katiba ya chama cha kisiasa siyo katiba ya nchi,hata kwenye saccos yenu mna katiba yenu,mnapokutana mnaweza kurekekibisha hiki na kile,alimradi muwe nyooote na mwenyekiti wenu mmekamilika.
 
We jamaa umeniudhi mpaka natamani kuvunja simu ,shame on you
 
Ndugu Wana ukumbi,

Nina swali kwenu, Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi?

Wakati wao huapa kuilinda Katiba ya nchi?
Wamlimde mara ngapi ?
Kwani mwaka 2020 Magufuli alishinda kihalali ?
 
Kipengele gani kwenye katiba ya nchi kimevunjwa ?
Hakuna,hawa firigisi hawajui utofauti wa katiba hizimbili.
NAOMBA WATU WOTE WAACHE KULIHUSISHA JESHI LETU LA WANANCHI WA TANZANIA NA MAMBO YA SIASA UCHWARA ZA CHADEMA,JESHI LETU PENDWA HALIHUSIKI NA SIASA ZA NDANI YA NCHI,LENYEWE LINA MAJUKUMU YAKE NJE NA MBALI NA ISSUE ZA SIASA
 
Mkuu nikushukuru kwa kuwafafanulia hawa mapumbavu a.k.a Chawa
 
No reforms no election, ccm safari hii tumewakamata pabya , machawa wa ccm walishabikia sana uchaguzi wa ndani wa chadema ,na nilisema mda utafika tutahamia huko ,machawa hawakunielewa.

Sasa nasema ccm imevunja katiba ya chama na katiba ya nchi ,Msajili wa vyama vya siasa futa mara moja chama cha ccm ,sio ombi ni amri asema Bwana , kama hutokifuta utafutwa wewe aesma Bwana.
 
Vijana mnaongea kama mnaishi sayari ya Mars.... Hizo notes zenu za CIVICS na GS acheni huko huko mashuleni, ni za kutafutia credits tu,,, ...
You're parroting textbook nonsense like a brainwashed schoolboy. The real world doesn’t run on your idealistic classroom theories wake up and observe how power actually operates.
Stop acting smart with borrowed arguments you barely understand.
 
Tukienda kwenye Tume ya Uchaguzi tutalikuta jina lake kuwa ni mgombea urais 2025?
 
Lifungu kipi cha katiba kilichovunjwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…