Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

Jifunze kubalance shobo, mkilala akigeukia huku we geukia kule, usilielie sana mtoto wa kiume, una mchepuko kwanza tuanzie hapo
 
mtu hataki, kwanini wewe umlazimishe.? umekosa mambo ya msingi ya kufanya.?
 
Wehuna chakufanya ndio manaa unapata mdaa wakuangaika na mtuu
 
Ndo maana nikata ushauri si vibaya kuomba kwa wengine mawazo yao
achana naye, muache, temana naye, mpotezee, mchinjie baharini, mkaushie, futa na namba zake za simu, fanya kublock mawasiliano yake, unfollow hiyo pimbi mitandao yote ya kijamii.
 
achana naye, muache, temana naye, mpotezee, mchinjie baharini, mkaushie, futa na namba zake za simu, fanya kublock mawasiliano yake, unfollow hiyo pimbi mitandao yote ya kijamii.
Asante sana kwa kumuokoa baharia mwenzako Ubarikiwe sana Ndugu Na Mungu akatimize mahitaji ya moyo wako πŸ‘πŸ‘
 
Mkuu the thing is no matter utapata ushauri kiasi gani kama mwanamke yupo moyoni mwako utasahau ushauri wa watu wote.

Unaweza ukasema humtafuti kwa siku ya leo lakini unajikuta asubuhi una haha kumpigia sim.

Love is very very powerful, heshimu hisia zako na uisikilize sauti ndani mwako nini inakuambia kuhusu huyo mwanamke.

Watu wengi watakulaumu kwanini unamng'ang'ania huyo mwanamke lakini wewe mwenyewe ndio unaona kabisa amani yako ipo kwake, usikate tamaa atarudi kwako
 
Hakik
Japo shida ya mwingine ila nimejifunza kitu kikubwa sana
Hakika ndugu yangu hata mm wamenifungua pakubwa ibakie tu skio la kufa lisisikie Dawa
Asante kwa kuchangia na kuongezea neno lako ila nilitafuta suluhu bado anakua juu nikimleta kushoto anaenda kulia...baada ya ushauri hapa nimefuta namba na nimetia nia yakutomtafuta nimemuaga kwa sms tu baada ya kumpigia simu akaleta nyodo kua anakazi ...Inatosha tena kama kuisha acha yaishe πŸ–
 
Penye hasira ni ngumu mtu kusikiliza msamaha mpe muda wa kutosha ili aweze kuponya maumivu.

Mtu hanuni wala hakasiriki milele.
 

Usikubali mwanamke akutingishe, her looks sisikuendeshe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…