Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

Jifunze kubalance shobo, mkilala akigeukia huku we geukia kule, usilielie sana mtoto wa kiume, una mchepuko kwanza tuanzie hapo
 
Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo

Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi?
Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ?

Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka yaishe tusonge mbele naona amekua mzito japo ajanitamkia kuachana ila kumtumia sms hajibu nahata akipokea simu ukitaka suluhu atufiki lengo wanazengo
Kwa mwenye mda ushauri Tafadhali 🙏
mtu hataki, kwanini wewe umlazimishe.? umekosa mambo ya msingi ya kufanya.?
 
Wehuna chakufanya ndio manaa unapata mdaa wakuangaika na mtuu
 
achana naye, muache, temana naye, mpotezee, mchinjie baharini, mkaushie, futa na namba zake za simu, fanya kublock mawasiliano yake, unfollow hiyo pimbi mitandao yote ya kijamii.
Asante sana kwa kumuokoa baharia mwenzako Ubarikiwe sana Ndugu Na Mungu akatimize mahitaji ya moyo wako 👏👏
 
Mkuu the thing is no matter utapata ushauri kiasi gani kama mwanamke yupo moyoni mwako utasahau ushauri wa watu wote.

Unaweza ukasema humtafuti kwa siku ya leo lakini unajikuta asubuhi una haha kumpigia sim.

Love is very very powerful, heshimu hisia zako na uisikilize sauti ndani mwako nini inakuambia kuhusu huyo mwanamke.

Watu wengi watakulaumu kwanini unamng'ang'ania huyo mwanamke lakini wewe mwenyewe ndio unaona kabisa amani yako ipo kwake, usikate tamaa atarudi kwako
 
Hakik
Japo shida ya mwingine ila nimejifunza kitu kikubwa sana
Hakika ndugu yangu hata mm wamenifungua pakubwa ibakie tu skio la kufa lisisikie Dawa
Mkuu the thing is no matter utapata ushauri kiasi gani kama mwanamke yupo moyoni mwako utasahau ushauri wa watu wote.

Unaweza ukasema humtafuti kwa siku ya leo lakini unajikuta asubuhi una haha kumpigia sim.

Love is very very powerful, heshimu hisia zako na uisikilize sauti ndani mwako nini inakuambia kuhusu huyo mwanamke.

Watu wengi watakulaumu kwanini unamng'ang'ania huyo mwanamke lakini wewe mwenyewe ndio unaona kabisa amani yako ipo kwake, usikate tamaa atarudi kwako
Asante kwa kuchangia na kuongezea neno lako ila nilitafuta suluhu bado anakua juu nikimleta kushoto anaenda kulia...baada ya ushauri hapa nimefuta namba na nimetia nia yakutomtafuta nimemuaga kwa sms tu baada ya kumpigia simu akaleta nyodo kua anakazi ...Inatosha tena kama kuisha acha yaishe 🖐
 
Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo

Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi?
Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ?

Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka yaishe tusonge mbele naona amekua mzito japo ajanitamkia kuachana ila kumtumia sms hajibu nahata akipokea simu ukitaka suluhu atufiki lengo wanazengo
Kwa mwenye mda ushauri Tafadhali [emoji120]
Penye hasira ni ngumu mtu kusikiliza msamaha mpe muda wa kutosha ili aweze kuponya maumivu.

Mtu hanuni wala hakasiriki milele.
 
Hakik

Hakika ndugu yangu hata mm wamenifungua pakubwa ibakie tu skio la kufa lisisikie Dawa

Asante kwa kuchangia na kuongezea neno lako ila nilitafuta suluhu bado anakua juu nikimleta kushoto anaenda kulia...baada ya ushauri hapa nimefuta namba na nimetia nia yakutomtafuta nimemuaga kwa sms tu baada ya kumpigia simu akaleta nyodo kua anakazi ...Inatosha tena kama kuisha acha yaishe [emoji870]

Usikubali mwanamke akutingishe, her looks sisikuendeshe kabisa
 
Back
Top Bottom