Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtu hataki, kwanini wewe umlazimishe.? umekosa mambo ya msingi ya kufanya.?Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo
Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi?
Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ?
Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka yaishe tusonge mbele naona amekua mzito japo ajanitamkia kuachana ila kumtumia sms hajibu nahata akipokea simu ukitaka suluhu atufiki lengo wanazengo
Kwa mwenye mda ushauri Tafadhali 🙏
🤣😅 dah sina mchepuo ndungu yanguJifunze kubalance shobo, mkilala akigeukia huku we geukia kule, usilielie sana mtoto wa kiume, una mchepuko kwanza tuanzie hapo
Ndo maana nikata ushauri si vibaya kuomba kwa wengine mawazo yaomtu hataki, kwanini wewe umlazimishe.? umekosa mambo ya msingi ya kufanya.?
Tatizo hill mkuu unakuwaje na mwanamke mmoja lazima atakusumbua, mtafutie mwenzie🤣😅 dah sina mchepuo ndungu yangu
achana naye, muache, temana naye, mpotezee, mchinjie baharini, mkaushie, futa na namba zake za simu, fanya kublock mawasiliano yake, unfollow hiyo pimbi mitandao yote ya kijamii.Ndo maana nikata ushauri si vibaya kuomba kwa wengine mawazo yao
Asante sana kwa kumuokoa baharia mwenzako Ubarikiwe sana Ndugu Na Mungu akatimize mahitaji ya moyo wako 👏👏achana naye, muache, temana naye, mpotezee, mchinjie baharini, mkaushie, futa na namba zake za simu, fanya kublock mawasiliano yake, unfollow hiyo pimbi mitandao yote ya kijamii.
Nimeipenda hii ubarikiwe sana 👏👏👏Kwanza mwanaume haombi msamaha kwa mwanamke yeyote isipokokuwa mama mzazi tu
Pmj mkuuNimeipenda hii ubarikiwe sana 👏👏👏
Yani Humu kuna watu wanamawazo mazuri na akili zao wengi zimetulia nimefurahi kua mmoja ya watu wahii websiteJapo shida ya mwingine ila nimejifunza kitu kikubwa sana
Hakika ndugu yangu hata mm wamenifungua pakubwa ibakie tu skio la kufa lisisikie DawaJapo shida ya mwingine ila nimejifunza kitu kikubwa sana
Hakika ndugu yangu hata mm wamenifungua pakubwa ibakie tu skio la kufa lisisikie DawaJapo shida ya mwingine ila nimejifunza kitu kikubwa sana
Asante kwa kuchangia na kuongezea neno lako ila nilitafuta suluhu bado anakua juu nikimleta kushoto anaenda kulia...baada ya ushauri hapa nimefuta namba na nimetia nia yakutomtafuta nimemuaga kwa sms tu baada ya kumpigia simu akaleta nyodo kua anakazi ...Inatosha tena kama kuisha acha yaishe 🖐Mkuu the thing is no matter utapata ushauri kiasi gani kama mwanamke yupo moyoni mwako utasahau ushauri wa watu wote.
Unaweza ukasema humtafuti kwa siku ya leo lakini unajikuta asubuhi una haha kumpigia sim.
Love is very very powerful, heshimu hisia zako na uisikilize sauti ndani mwako nini inakuambia kuhusu huyo mwanamke.
Watu wengi watakulaumu kwanini unamng'ang'ania huyo mwanamke lakini wewe mwenyewe ndio unaona kabisa amani yako ipo kwake, usikate tamaa atarudi kwako
Penye hasira ni ngumu mtu kusikiliza msamaha mpe muda wa kutosha ili aweze kuponya maumivu.Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo
Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi?
Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ?
Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka yaishe tusonge mbele naona amekua mzito japo ajanitamkia kuachana ila kumtumia sms hajibu nahata akipokea simu ukitaka suluhu atufiki lengo wanazengo
Kwa mwenye mda ushauri Tafadhali [emoji120]
Hakik
Hakika ndugu yangu hata mm wamenifungua pakubwa ibakie tu skio la kufa lisisikie Dawa
Asante kwa kuchangia na kuongezea neno lako ila nilitafuta suluhu bado anakua juu nikimleta kushoto anaenda kulia...baada ya ushauri hapa nimefuta namba na nimetia nia yakutomtafuta nimemuaga kwa sms tu baada ya kumpigia simu akaleta nyodo kua anakazi ...Inatosha tena kama kuisha acha yaishe [emoji870]