Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Hahaha mnachekesha kwa kweli, kwa hiyo kuna watu mnaamini mkifa kuna sehemu tena ingine mnaenda
 
Mathayo 22:29
Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.

Mathayo 22:30
Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni.
Malaika hawali,twende tukabung'ae Kama walinzi mbinguni ili iweje!!?...tumeabudu duniani,tumejizuwia kugongwa,kuelewa nk Kisha huko tukazurule tu,Ina maana gani kuitwa siku ya malipo!?
 
Hahaha mnachekesha kwa kweli, kwa hiyo kuna watu mnaamini mkifa kuna sehemu tena ingine mnaenda
Kwani sehemu hii iliyopo uliiumba wewe mpaka ushangae kuwepo nyingine!?
 
Nyinyi mtabaki na sisi hapa hapa duniani. Maana hakuna namna nyingine ya kubadilika na kuwa tena mabikira.
 
Hii dini kuitetea inabidi ujipange sana, ndio maana some time nguvu zinatumika Ili kufukia mashimo
Kati ya uislam na dini zingine ipi haiendi bila mkono wa serikali!?
 
Dini hizi.

Sometimes najiuliza,hivi hadi wasomi kama Prof Janabi nao wako kwenye uislamu kufukuzia hizi ahadi za bikra?

Anyway binafsi naamini dini zipo ili kutuunganisha tu hapa duniani ili upate watu utakaokuwa nao kwenye matukio fulani enzi za uhai wako na hata ukifa.

Bikra za hapa duniani sijishughulishi nazo ndiyo niwe na shauku na za mbinguni?
 
Hiyo pepo itakua kama danguro,ni mwendo wa kunyanduana tu huku alla akishuhudia mitanange ya waumini wake,nadhani na tuzo zitakua zinatolewa.
Kwani huku duniani hakuna madanguro,hashuhudii uzinzi wako,alikwambia ana shida na ngono!?
 
Katika uislamu mwenye haki ni mwanamume tu, mwanamke anatambuliwa kwenye kuhudumia ndoa tu.
mwanaume alipoamriwa kwenye Qur'an kuwa ndiye mlishaji,mvishaji,mtoa makazi,mtoa mahari ni kunyimwa haki mwanamke!?
 
Mabikra 72 kwa mwanaume mmoja???
Hii ni zinaa ya namna gani????
Hapo mzee unakua chombo cha starehe period..
Huko peponi kazi ni moja tu,ufuska mwanzo mwisho..
Wanawake 72 sio mchezo,itakua ni ngono siku zote za maisha yako.
dhambi na ufuska ni duniani..toa funza kichwani
 
Yaani bustani ya eden ina miaka haijapaliliwa then kuna suria anaulizia wanaume wa peponi..hahah SISI NDO TUKO.
 
Mfalme Selemani alikuwa nao 1000 duniani, halafu kuna watu wanashangaa nikiwa nao 72 tu peponi. Kwendeni zenu!
 
Kuna sehemu unasema kuna watu watakuwa kazi 'kututumikia' Kwa hiyo na peponi pia hakuna raha kama kamili. Kuna watu watatumikishwa—SUFFERING? Looks like suffering ni sehemu ya life design ya Mungu.
 
Huwezi kwenda peponi na mkeo,Pepo ni malipo ya mema Yako uliyofanya duniani,Pepo Zina madaraja,huwezi fanana/lingana uchamungu na mkeo,so kila mtu atakua na Pepo yake na malipo yake
Kwahiyo mke wangu anaenda kuchakatwa na lijamaa jingine huko walahi tutauana
 
Hakuna sehemu Qur'an imeahidi bikira 72,Bali imeahidi wanawake bikira waliotwaharika bila kutaja idadi
Kwahiyo hata bikira milioni,hai 72 imetoka wapi? Nakama sitaki bikra inakuaje
 
MWAMBA HUYU HAPA..!👌
 
mkuu, kama ulikua umeoa na ukaishi na mkeo kimsingi wa dini inavyotaka bas ukimuomba Mungu utakapokua peponi uendelee na mkeo wa duniani ruksa kila uombacho peponi unapewa without hesitation.
Ukipewa huyo ,huchakati tena zile 72 abaki tu
 
Binaadam hawawezi ungana bila hizo 'dini'!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…