Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

ujinga hauwezi kuwa cha jio, wewe umegeuza ujinga kuwa chakula cha jio?
Mbona binadamu hawaendelei tena kutokea na hiyo EVOLUTION ?
Hivi Kama huna mke au mwanamke unapataje binadamu mpya (mtoto)..
PUMBAVU ZENU WANA SAYANSI WAONGO ETI EVOLUTION
Unasema "Wanasayansi waongo" wakati unatumia internet iliyotengenezwa na wanasayansi?

Tengeneza yako ya mabua halafu useme wanasayansi waongo huko, nitakuona una hoja.

Unaelewa hata sayansi ni nini?

Unaelewa evolution ni nini?
 
Katika uislamu mwenye haki ni mwanamume tu, mwanamke anatambuliwa kwenye kuhudumia ndoa tu.
Wanavyodai, wanawake hawako consided saana maana walio wengi ni wakazi wa jehanum. Hizi dini
 
Mtaishia Duniani mbinguni hamuendi
 
Mpaka siku ya kiama inafika, wanawake wote watakuwa masuper woman aka wanawake wa shoka, hamtakuwa na haja ya wanaume, mtaachiwa Dunia yote peke yenu.

Mwenyezi atatuchukua viumbe wake, tukaanze upya.

(Just kidding, though am serious 😅😅)
 
Hello JF

Katika Majira zote zilizopita Huduma binafsi,Dini zote na madhehebu yote tulifundishwa kuna kiama au mwisho wa dunia kupitia elimu tatu za dunia ambazo ni (thiolojia,filosofia na saikolojia),na pia tutegemee kwenda mbinguni.

Ila kiuhalisia hakuna siku ya mwisho wala kiama na mbingu utakayoishi na aliyekuumba ni hapahapa juu ya nchi. Na ilo limeandikwa katika mistari mingi katika kitabu, Japo Yesu nae aliwaambia muombe sala ya baba yetu ufalme wako uje (sasa umekuja) lakin wengi tulisali bila kujua maana yake kwa kukrem tu ila vifungu vifwatavyo vinafafanua kwamba kusudi ni yeye kuishi nasi hapa juu ya nchi.

1.Ufunuo 21:3
2.Mika 1:2-4
3.Zekaria 14:9
4.Isaya 57:15
5.2Petro 3:13
 
Hadithi yangu kwani niliandika mimi ?

Nimekupa andiko nijibu kwa andiko.

Kuwasomea maandiko yenu mnapandwa na jazba na matusi juu.

Jibu andiko kwa andiko.
Na sio kuanza kuwatisha watu wanaosoma maandiko yenu.

Ziko hadithi nyingi sana zinaongea hivyo hivyo kuwa mtaozesha wanawake wa Motoni, yaani Demons.
 
Mjehova
 
Wamesema mtaenda kuolewa na wale watu wachamungu wa zamani
 
Tafsiri nyepesi na ya haraka kwenye hio Aya ni kwamba nyie wanawake hamuendi peponi, pepo ni ya wanaume
 
Chizi wewe ina maana jibu hujalielewa au
Kwenye andiko ulilo litoa hiki kipande hakija tafsriwa kipo kwenye andiko hilo hilo ulio itoa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

قَالَ هِشَامُ بْنُ خَالِدٍ مِنْ مِيرَاثِهِ مِنْ أَهْلِ النَّارِ يَعْنِي رِجَالاً دَخَلُوا النَّارَ فَوَرِثَ أَهْلُ الْجَنَّةِ نِسَاءَهُمْ كَمَا وُرِثَتِ امْرَأَةُ فِرْعَوْنَ ‏.‏

Ndio ume tafsriwa unaendelea kupuyanga. Eti lete andiko wakati andiko lako lenyewe lishafafanua


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
So kama huku duniani unao wanne, na ukaingia nao wote peponi utakuwa nao 76 wote wako sheikh. Upotovu ulioje. Huko peponi hakuna kuoa wala kuolewa maana tutabadiishwa na kupewa miiili kama ya malaika.
 
Chizi mwenyewe unaye panda jazba kwa maandiko yako.

Hiyo tafsiri ni hadithi namba ngapi ?

Mambo ya kujificha kwenye Lugha ya Kiarabu hamjaanza leo.
Mkibanywa kidogo tu mbio kwenye Kiarabu

Nimekupa namba ya hadithi nijibu kwa namba ya hadithi au Aya.

Maneno mengi na Matusi ni majibu ya Majuha.
 
Mualikeni humu Sheikh wetu Shaweji Makarani almaarafu Kipozeo atoe darsa[emoji3]
 
We umetoa hadithi namba ngapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sema ulikuwa hujui.

Lazima nikwite chizi kwa sababu umekurupuka


Hakuna kuku yeyote wa kikristo atakae fanya tujifiche bali tuna wafundisha kwa vitendo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Mkimbilie Yesu wa msalabani, yeye amekuahidia mara 100 hapa na baadae uzima wa milele. Achana na mafundisho potofu ya kwenda kunywa pombe kwenye mito ya ulevi, wanaume zenu watapewa bikra 72 ninyi mkiwaangalia tu. Mbona Mungu hana Upendeleo, mbona Mungu hana ubaguzi?. Peponi hakuna kuoa wala kuolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…