Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Ujira mkubwa ndo nini? Kunywa maziwa na asali?
Ujira utakaotolewa ana ujua Mtoaji mwenyewe... Kazi yetu Mimi na wewe ni kujitahidi kuwa waadilifu kadri tuwezavyo Ili tustahili kupata ujira huo.


Ahsante.
 
Ujira utakaotolewa ana ujua Mtoaji mwenyewe... Kazi yetu Mimi na wewe ni kujitahidi kuwa waadilifu kadri tuwezavyo Ili tustahili kupata ujira huo.


Ahsante.
Umepigwa fix master.. hakunaga hiyo ya mito ya asali wala maziwa. Hakuna kula kule wala ngono
 
Umepigwa fix master.. hakunaga hiyo ya mito ya asali wala maziwa. Hakuna kula kule wala ngono
SASA KUNA NINI?
Yaonesha wewe ni mshirika wa Mungu unajuwa mipangilio yake?
Unawezaje kumsemea Mungu kuwa hakuna hiki au kile?
Unafuata matamanio yako na Kuvuviwa na Shetani.
Sasa wewe jirushe Duliani usifuate maonyo halafu tukutane Huko siku ya siku tuone nanani atakaye fuzu na nani atasaga meno?
 
Umepigwa fix master.. hakunaga hiyo ya mito ya asali wala maziwa. Hakuna kula kule wala ngono
SASA KUNA NINI? ,TUAMBIE WEWE NINI FAIDA YA KUJIZUIA NA MAAMRISHO HUKU DUNIANI , JE KULE UTAPATA NINI KWA JUHUDI YAKO HIYO?
Na yule atakayefanya fujo na kujimwaga kwa raha na uharamia, atapataje adhabu kama hana Mwili huu?
Tupe Ukweli siyo maono yako binafsi.
 
Watarudishiwa bikra zao, na hao ndiyo mwanamme wa kiislam atapewa, hakuna mwanamke mwingine atayeumbwa Muraa,

Lakini sisi Wakristo hatuamini katika mambo ya ngono, mbingu yetu haina uchafu huo, kwetu hakuna ngono bali tutaishi kama malaika tukisifu ukuu wa Mungu, fully stop.
 
Wakristo na Waislamu wote wanaamini Mungu wa uongo ambaye ana contradictions kibao.

Quran na Biblia zimejaa contradictions, kwa sababu huyo Mungu hayupo, katungwa na watu tu.

Ndiyo maana unaona Mungu ana tabia kama za watu.

Watu wenye nyege na kufikiri sana mabikira wamemtunga Mungu atakayewazawadia mabikira watoe nyege zao.

Ni nyege tu, hakuna Mungu hapo.
 
Daaaah, sawa mkuu!
 
Kwamba chuki, husda, roho mbaya tunazo sisi wanawake tu?
Dada angu pole, ukweli ni kwamba jamii za kale hazikum consider mwanamke.
Hzo hadithi za pepo na kuzimu ni hadithi tu za watu wa jamii ya zama za giza.
 

Attachments

  • quote_1683924178054.jpg
    27.2 KB · Views: 3
M Mungu yupo mkuu, isipokuwa dini ndo zina shida.
 
Nyie wanawake mnaenda fanywa kuwa huru'r`aain. Kati ya wale wanawake 70 tutakaopewa kila mwanamume,pengine na wewe/yeye mtakua katiyao.

Allah awafanyie wepesi inshaallah tabarak wataala.
Umemaliza mjadala
 
Umeelezea vizuri kabisa,:wanawake na wanaume watakaofuta maamrisho ya Allah watalipwa ujira mkubwa kabisa.
 
Ila hii dunia hii inawatu wa hovyo sana.

Kwahyo mkuu uko unafanya swala 5 ili usikose malipo ya bikra 72??
 
Mtarudishiwa bikra zenu. Mtakuwa wapya tena
 
Mind set yako iko katika kujikandamiza mwenyewe kama mwanamke ukidhani unaitetea imani yako.

Lakini hoja hapa ni kiwa, mwanaume atapata bikra 72, je mwanamke atapata nini???

Hivi huwa unaridhika ukiona mchumba/bwana/Mume wako akiwa na mwenza mwingine??
Unakuwa confortable kabisa??

Kwahyo mbinguni wewe huna lako, wewe utakuwepo tu tena utakuwa na majonzi ya kuona Mumeo akiwa na wanawake wengi zaidi kuliko hapa duniani.

By the way nkuhabarishe tu kuwa hiyo mbingu yenyewe haipo dada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…