Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Pia kuna ukristo pia ni upuuzi...Kuwa mwislam ni aina nyingine ya upumbavu
Yatupasa kusoma maandiko na kuyatafakari...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia kuna ukristo pia ni upuuzi...Kuwa mwislam ni aina nyingine ya upumbavu
Ujira utakaotolewa ana ujua Mtoaji mwenyewe... Kazi yetu Mimi na wewe ni kujitahidi kuwa waadilifu kadri tuwezavyo Ili tustahili kupata ujira huo.Ujira mkubwa ndo nini? Kunywa maziwa na asali?
Umepigwa fix master.. hakunaga hiyo ya mito ya asali wala maziwa. Hakuna kula kule wala ngonoUjira utakaotolewa ana ujua Mtoaji mwenyewe... Kazi yetu Mimi na wewe ni kujitahidi kuwa waadilifu kadri tuwezavyo Ili tustahili kupata ujira huo.
Ahsante.
Mbona hata yesu analijua hilo we wawa wapi hujui kama kule kuna kula na kunywa na mengineUmepigwa fix master.. hakunaga hiyo ya mito ya asali wala maziwa. Hakuna kula kule wala ngono
SASA KUNA NINI?Umepigwa fix master.. hakunaga hiyo ya mito ya asali wala maziwa. Hakuna kula kule wala ngono
SASA KUNA NINI? ,TUAMBIE WEWE NINI FAIDA YA KUJIZUIA NA MAAMRISHO HUKU DUNIANI , JE KULE UTAPATA NINI KWA JUHUDI YAKO HIYO?Umepigwa fix master.. hakunaga hiyo ya mito ya asali wala maziwa. Hakuna kula kule wala ngono
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nyinyi mtakuwa wasaidizi wa kazi za ndani... Wakati tunanyanduana na mademu zetu huko majuu nyinyi mtakuwa nje mkifua na kufagia bustani
Wakristo na Waislamu wote wanaamini Mungu wa uongo ambaye ana contradictions kibao.Watarudishiwa bikra zao, na hao ndiyo mwanamme wa kiislam atapewa, hakuna mwanamke mwingine atayeumbwa Muraa,
Lakini sisi Wakristo hatuamini katika mambo ya ngono, mbingu yetu haina uchafu huo, kwetu hakuna ngono bali tutaishi kama malaika tukisifu ukuu wa Mungu, fully stop.
Daaaah, sawa mkuu!Wakristo na Waislamu wote wanaamini Mungu wa uongo ambaye ana contradictions kibao.
Quran na Biblia zimejaa contradictions, kwa sababu huyo Mungu hayupo, katungwa na watu tu.
Ndiyo maana unaona Mungu ana tabia kama za watu.
Watu wenye nyege na kufikiri sana mabikira wamemtunga Mungu atakayewazawadia mabikira watoe nyege zao.
Ni nyege tu, hakuna Mungu hapo.
Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
Dada angu pole, ukweli ni kwamba jamii za kale hazikum consider mwanamke.Kwamba chuki, husda, roho mbaya tunazo sisi wanawake tu?
Mungu yupo mkuu, isipokuwa dini ndo zina shida.Wakristo na Waislamu wote wanaamini Mungu wa uongo ambaye ana contradictions kibao.
Quran na Biblia zimejaa contradictions, kwa sababu huyo Mungu hayupo, katungwa na watu tu.
Ndiyo maana unaona Mungu ana tabia kama za watu.
Watu wenye nyege na kufikiri sana mabikira wamemtunga Mungu atakayewazawadia mabikira watoe nyege zao.
Ni nyege tu, hakuna Mungu hapo.
Umemaliza mjadalaNyie wanawake mnaenda fanywa kuwa huru'r`aain. Kati ya wale wanawake 70 tutakaopewa kila mwanamume,pengine na wewe/yeye mtakua katiyao.
Allah awafanyie wepesi inshaallah tabarak wataala.
Umeelezea vizuri kabisa,:wanawake na wanaume watakaofuta maamrisho ya Allah watalipwa ujira mkubwa kabisa.Kwanza kabisa Mola wako hamdhulumu mtu yoyote aliyefanya jitihada kwenye kufanya matendo mazuri, ipo hivyo kwa Wanaume na Wanawake wote watalipwa kwa wema wao....SO, WANAWAKE NAO WATAENDA ENJOY PEPONI KWA ENJOYMENTS TOFAUTI TOFAUTI MOLA WAO NDIYO ANAJUA ZAIDI.
Na ukipata nafasi pitia hizi Aya hapa tafadhali 👇🏽
Al-Ahzab 33:35
إِنَّ ٱلْمُسْلِمِينَ وَٱلْمُسْلِمَٰتِ وَٱلْمُؤْمِنِينَ وَٱلْمُؤْمِنَٰتِ وَٱلْقَٰنِتِينَ وَٱلْقَٰنِتَٰتِ وَٱلصَّٰدِقِينَ وَٱلصَّٰدِقَٰتِ وَٱلصَّٰبِرِينَ وَٱلصَّٰبِرَٰتِ وَٱلْخَٰشِعِينَ وَٱلْخَٰشِعَٰتِ وَٱلْمُتَصَدِّقِينَ وَٱلْمُتَصَدِّقَٰتِ وَٱلصَّٰٓئِمِينَ وَٱلصَّٰٓئِمَٰتِ وَٱلْحَٰفِظِينَ فُرُوجَهُمْ وَٱلْحَٰفِظَٰتِ وَٱلذَّٰكِرِينَ ٱللَّهَ كَثِيرًا وَٱلذَّٰكِرَٰتِ أَعَدَّ ٱللَّهُ لَهُم مَّغْفِرَةً وَأَجْرًا عَظِيمًا
Hakika Waislamu wanaume na Waislamu wanawake, na Waumini wanaume na Waumini wanawake, na wat'iifu wanaume na wat'iifu wanawake, na wasemao kweli wanaume na wanawake, na wanao subiri wanaume na wanawake, na wanyenyekevu wanaume na wanawake, na watoao sadaka wanaume na wanawake, na wanao funga wanaume na wanawake, na wanao jihifadhi tupu zao wanaume na wanawake, na wanao mdhukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi wanaume na wanawake, Mwenyezi Mungu amewaandalia msamaha na ujira mkubwa.
An-Nisa' 4:40
إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَظْلِمُ مِثْقَالَ ذَرَّةٍۖ وَإِن تَكُ حَسَنَةً يُضَٰعِفْهَا وَيُؤْتِ مِن لَّدُنْهُ أَجْرًا عَظِيمًا
Hakika Mwenyezi Mungu hadhulumu hata uzito wa chembe moja. Na ikiwa ni jambo jema basi Yeye hulizidisha na hutoa kutoka kwake malipo makubwa.
Thibitisha Mungu yupo.M
Mungu yupo mkuu, isipokuwa dini ndo zina shida.
Ameeleza nini sasa? Swali halijajibiwa. Wanaume wanaahidiwa bikra, je akinamama watapata nini?Umeelezea vizuri kabisa,:wanawake na wanaume watakaofuta maamrisho ya Allah watalipwa ujira mkubwa kabisa.
Ila hii dunia hii inawatu wa hovyo sana.Sasa hiyo pepo itakuwa na raha gani kama twajizuia huku, alafu huko pia hatuvipati hivyo vitu?
Nani kakuambia jimai siyo jambo linalopendwa na mwanadam mzee?
Yaani tukomae na swala tano, swaumu, tule kwa macho pisi Kali afu peponi pia tukaswali na kufunga?
Kwetu sie waislam peponi(Allah atujaalie tuingie pepo yake) ni kustarehe babu kujinyima duniani...na mwanaume yeyote tukisema starehe alafu amtoe mwanamke kwenye starehe basi huyo binafsi nitamuona kuna shida sehemu.....bora ya starehe ni Mke mwema mtiifu(yaani mwanamke).
Tena hao 72 unakuwa energetic kwa uwezo wa mwenyezi mungu ili kuwatosheleza.
Kuhusu wake zetu, akiwa ni katika watu wa peponi na Mme akiwa ni wa peponi basi mtumi(saw) kama si aya asema ingieni peponi na mnawaopenda(it means wana ndoa watakuwa pamoja if and only if watakuwa ni waliotenda mema).
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
heshimu imani za watuNdio uamini iko ni kitabu cha mchongo
Mtarudishiwa bikra zenu. Mtakuwa wapya tenaAs-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Ahsante.
Mind set yako iko katika kujikandamiza mwenyewe kama mwanamke ukidhani unaitetea imani yako.Kwanza kama ulikua uko swafi huku duniani, means unampenda mumeo huyohuyo, hujqwah kucheat, hujui kula riba, unamsikiliza mumeo peponi unaenda na unakua mzuri zaidi kuliko hao mahurul'ain nakati ya hao wanwake watakaopewa wanaume peponi kama uko kundi hili unaweza kuendelea na mumeo wa duniani
Lakini kwa sababu sisi wanawake kusengenya sisi, kufitini sisi wengi wetu ndio tutakua kuni
Naruhusu kusahihishwa.