Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Meanig
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Ahsante.

Mbona Qur'an haisemi hivyo utakavyo wewe? Au unaisoma uliyojitungia mwenyew? Soma:

Qur'an 2:25. Na wabashirie walio amini na wakatenda mema kwamba watapata mabustani yapitayo mito kati yake; kila watapo pewa matunda humo, watasema: Haya ndiyo kama tuliyo pewa mbele. Na wataletewa matunda yaliyo fanana; na humo watakuwa na wake walio takasika; na wao humo watadumu. 25

Qur'an 4:57. Na wale walio amini na wakatenda mema tutawaingiza katika Pepo zipitazo mito kati yake kwa kudumu humo milele. Huko watakuwa na wake walio takasika, na tutawaingiza katika vivuli vizuri kweli. 57
 
Mtapewa mashababi wa kuwapelekea moto!
 
Allah alishindwa kuelewa dhumuni la sex , alizingua Sana 😂🤣🤣
Hii ni Biblia ndiyo imesema hivyo.
Allah amnajua siri ya kila alichokiumba ,
Qur-an imetowa ruhusaKwa Babu yetu Adam alipokuwa peponi ya kula na kushi na mkewe kule peponi apendavyo.
Bali alipewa sharti ya la kutokula Mti mmoja tuu.
Aliteleza, kwa ushawishi wa Shetani aliula.
Mungu Alijuwa kuwa Hilo tukio litatokea na ndio maana alikwisha muandalia makazi mapya ya shida Duniani.
Elewa ewe mwana Kusikia
 
Weka ushahidi wa Koran kwa Aya uyasemayo

. Sharti la kutokula mti mmoja tuu
 
Weka ushahidi wa Koran kwa Aya uyasemayo

. Sharti la kutokula mti mmoja tuu
Sura ya 2: aya25.'' Na wabashirie walio amini na wakatenda mema kwamba watapata mabustani yapitayo mito kati yake; kila watapo pewa matunda humo, watasema: Haya ndiyo kama tuliyo pewa kabla. Na wataletewa matunda yaliyo fanana; na humo watakuwa na wake walio takasika; na wao humo watadumu.
 
Weka ushahidi wa Koran kwa Aya uyasemayo

. Sharti la kutokula mti mmoja tuu
Sura ya 2:Aya ya35.'' Na tulisema(kumwambia adam): Ewe Adam! Kaa wewe na mkeo katika Bustani(Pepo ya Eden), na kuleni humo mtakacho maridhawa popote mpendapo, lakini msiukaribie mti huu tu; mtakuwa katika wale walio dhulumu.''
 
Stori za kusadikika hizo,acha waendelee kudanganyana 😂
 
Hivi kutakuwa na vitanda kule Akhera? Au watafanyia kwenye garden?
 
ndio hicho kitabu kimejaa stori za fix kwa kwenda mbele nadhani pia hakikuzingatia siku za mbeleni watu watakuja kusanuka
Tutapewa wanawake wazuri tena Mabikira (Houri) ukimbikiri leo kesho bikira inaota tena

Kama nyie kwenye dini yenu hamkahidiwa ni nyie. Endeleeni kula nguruwe

Asalaam Aleykhum warahmatullah wabarakatul
 
Mtapelekwa kwa wanaume wa huko mbinguni maana wao washawazoea mabikra watapewa tu vikapu vya huku duniani wajionee 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…