Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Mnaota huko mbiguni hakuna hao wanawake sijui mabikira hawapo nonsense , kule ukibahatika kwenda nikuimba na kusifu tu haya jidanganyeni tangia lini mahali patakatifu kuna azinaaa lini ,mkikosaga vyakuandika watu wafuate acheni kuwa waongoo
Kwahiyo hata mvinyo utiririkao katika mito ya Akhera haipo?
 
Hahaha, kumbe beki tatu pia zipo kule

Allah Akbar
 
Ukimwona Sheikh Kipozeo akifafanua hili la mito ya pombe kabla hajahamia kwenye mizigo aisee usipojikaza unaweza kujikuta ushaslimu hapo hapo [emoji16][emoji16][emoji16]
Naam Sheikh....mizigo ile mikubwa kubwa ile
 
Nyie ndugu zake Ishmael mnawaza kufanywa tuuuu.

Hivi unawaza kwenda kufanya mbele za Bwana ?

Luka 20:34-36​

Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa; lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na kule kufufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi; wala hawawezi kufa tena; kwa sababu huwa sawasawa na malaika, nao ni wana wa Mungu, kwa vile walivyo wana wa ufufuo.
 
Nyie mtaenda kuhudumia watakao kwenda ahera/ motoni.
 
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Wanawake wa duniani kutokana na madhambi yenu mtageuzwa kuwa kuni za jehanam!
 
Nyie wanawake mnaenda fanywa kuwa huru'r`aain. Kati ya wale wanawake 70 tutakaopewa kila mwanamume,pengine na wewe/yeye mtakua katiyao.

Allah awafanyie wepesi inshaallah tabarak wataala.
Tupe mstari Sheikh
 
Tutapewa wanawake wazuri tena Mabikira (Houri) ukimbikiri leo kesho bikira inaota tena

Kama nyie kwenye dini yenu hamkahidiwa ni nyie. Endeleeni kula nguruwe

Asalaam Aleykhum warahmatullah wabarakatul
Na wanawake je?
 
Utata mkubwa huo walisahau kuedit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…