Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Mnaota huko mbiguni hakuna hao wanawake sijui mabikira hawapo nonsense , kule ukibahatika kwenda nikuimba na kusifu tu haya jidanganyeni tangia lini mahali patakatifu kuna azinaaa lini ,mkikosaga vyakuandika watu wafuate acheni kuwa waongoo
Kwahiyo hata mvinyo utiririkao katika mito ya Akhera haipo?
 
Mimi nadhani Watu hawatumii akili.
Munakumbuka kuwa Adam aliumbwa na akawekwa Peponi Aden, Paradiso iliyopotea?
Huko si alishi na Mkewe Hawa?
Walipokula Tunda ndio ikawa Dhambi ya kuwafanya watolewe huko?
Sasa Lile umbile alilokuwa nalo kabla ya kula tunda ndilo hilo atakalorudishiwa siku ya kiyama.
Ataishi na wanawake,
Atakula matunda. Kama isemavyo Biblia na pia isemavyo Qur- an.

Elimu ni NURU na Ujinga si biskuti, unaweza ukaachana nao.

Wanawake watapewa Matamanio ya kupenda Kufanya ngono kupita maelezo,(Nyege za nyongeza)
Watapewa Mapambo na mavazi ya Kuvutia wakiishi kama wa Malkia wakiwa na watumishi wao Mahur l Ain.

Mulio zowea kula Madada wa kazi (Hous Girl ) kule itakuwa Rukhsa

Elimu bila mipaka.
Uislamu ni Nuru
Hahaha, kumbe beki tatu pia zipo kule

Allah Akbar
 
Ukimwona Sheikh Kipozeo akifafanua hili la mito ya pombe kabla hajahamia kwenye mizigo aisee usipojikaza unaweza kujikuta ushaslimu hapo hapo [emoji16][emoji16][emoji16]
Naam Sheikh....mizigo ile mikubwa kubwa ile
 
Nyie ndugu zake Ishmael mnawaza kufanywa tuuuu.

Hivi unawaza kwenda kufanya mbele za Bwana ?

Luka 20:34-36​

Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa; lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na kule kufufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi; wala hawawezi kufa tena; kwa sababu huwa sawasawa na malaika, nao ni wana wa Mungu, kwa vile walivyo wana wa ufufuo.
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Nyie mtaenda kuhudumia watakao kwenda ahera/ motoni.
 
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Wanawake wa duniani kutokana na madhambi yenu mtageuzwa kuwa kuni za jehanam!
 
Nyie wanawake mnaenda fanywa kuwa huru'r`aain. Kati ya wale wanawake 70 tutakaopewa kila mwanamume,pengine na wewe/yeye mtakua katiyao.

Allah awafanyie wepesi inshaallah tabarak wataala.
Tupe mstari Sheikh
 
Tutapewa wanawake wazuri tena Mabikira (Houri) ukimbikiri leo kesho bikira inaota tena

Kama nyie kwenye dini yenu hamkahidiwa ni nyie. Endeleeni kula nguruwe

Asalaam Aleykhum warahmatullah wabarakatul
Na wanawake je?
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Utata mkubwa huo walisahau kuedit
 
Back
Top Bottom