Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Kama unaweza panda juu nenda ukazibe.

Wewe"mbinguni" unapewa nini zaidi ya kujazana kondoo na wachungaji wenu mkiimbiana mapambio ya kuomboleza?
 
Eleza bila lughA chafu
 
Ni kwamba Kila Dini Ina Mungu wake na Mbinguni yake ambako wengine wanapaita Peponi, Ahera nk.

Mungu wa Waislamu Allah amewaahidi waumini wake wanaume mabikra 72. Mito ya Asali, Maziwa na Pombe. Bila kusahau Matunda.

Mungu wa Wakristo YEHOVA amewaahidi waumini wake kuwa watakuwa Wana wa Mungu na kuishi Kama Malaika.
Hakuna mambo ya kuoa wala kuolewa.

Kwahiyo hapa ni kuchagua unataka kumfuata Mungu yupi. Ili upate hizo ahazi zao walizoziahidi.
 
Hii dini ni ya hovyo kwa kweli
 

Ni vizuri kuhoji
 
Kitabu usome mwenyewe maswali utuulize sisi kweli?
 
Mimi sitaki bwana, mume wangu nitabaki nae hadi huko mbinguni. Mambo ya kupewa mabikira 72 hapana kwakweli.

Mimi pia sitaki mashababi wa huko (If there is any)
Yeye atosha.
 
Mimi sitaki bwana, mume wangu nitabaki nae hadi huko mbinguni. Mambo ya kupewa mabikira 72 hapana kwakweli.

Mimi pia sitaki mashababi wa huko (If there is any)
Yeye atosha.
Lol! Wanasema wapenzi/ wanandoa hamtaweza kuonana mkifika kule ndiyo hivyo itabidi akina baba waanze upya.

Ova
 
Lol! Wanasema wapenzi/ wanandoa hamtaweza kuonana mkifika kule ndiyo hivyo itabidi akina baba waanze upya.

Ova
Kwahiyo na wewe uko tayari mpenzi/mkeo akaanze upya na baba mwingine?
I mean akawe bikira kati ya hao 72 na kupewa mwingine?

Haya mambo sipendi? Kwanini akina baba tu ndio waanze upya na sio kila mmoja aanze upya?
Au ingependeza zaidi kila mmoja apewe nafasi ya kuanza upya au kuendelea na wa hukuhuku.
Maana kuna watu wamewachoka watu wao wa huku pia. Lol
 
Dah! Hili swali ni gumu sana b... kwa sababu limetengeneza wivu kidogo, na wivu huwa hauna shujaa. Kwa kweli kama ilivyo siko tayari hapa duniani ndivyo siko tayari popote pale.

Ova
 
inawabidi wote muwe wachamungu,waja sema,swala tano wote Kwa pamoja,mwanamke kuwa mtiifu Kwa mumeo,kutengeneza kizazi chema Kwa kuwajenga watoto wenu kuwa waja wema,kuwa na ikhalaswi kweny matendo yenu,kulia saan Kwa Kuomba msamaha Kwa mola wako everyday kuna hadithi/mafunzo ya mtume yanasema "kila mwanaadamu ni mkosaji" kwahiyo hatutakiwi kulala kabla ya kuomba msamaha Kwa mola wetu,hujui ni Saa ngap utaondok katika hii dunia na kwenda kusubiri siku ya hukumu Kwa ajili ya malipo ya matendo yako ulipokuw duniani.
Wewe pamoja na mme/mke kila mtu kwa upande wake inabidi apite Kwa mola wake mpate msamaha na huruma kutoka kwake na hapo Allah anawapa nafasi tena kukutana katika pepo yake, mwanamke utakuw mzuri zaidi ya wanawake wa peponi.
Na hakika ahadi ya mola wako ni ya kweli kabisa

(Enter Paradise, you and your spouses, rejoicing.” - Az-Zukhruf:70)

Surely ˹for˺ Muslim men and women, believing men and women, devout men and women, truthful men and women, patient men and women, humble men and women, charitable men and women, fasting men and women, men and women who guard their chastity, and men and women who remember Allah often—for ˹all of˺ them Allah has prepared forgiveness and a great reward. - Al-Ahzaab:35

so that Allah will punish hypocrite men and women and polytheistic men and women, and Allah will turn in mercy to believing men and women. For Allah is All-Forgiving, Most Merciful. - Al-Ahzaab:73
 
Dah! Hili swali ni gumu sana b... kwa sababu limetengeneza wivu kidogo, na wivu huwa hauna shujaa. Kwa kweli kama ilivyo siko tayari hapa duniani ndivyo siko tayari popote pale.

Ova
Kule hakuna kuoneana wivu
 
Haya mambo ya Dini haya Na wakristo pia Kuna fungu linasema wapewe Wanawake 32 kama sikosei
 
Hahahah!
Nikiwa mfuatiliaji sana wa hizi dini zenu mbili, naomba nikujibu.
Kwanza utambue, hivi unadhani wewe ndiye wa kwanza kuhoji ama kuuliza swali la namna hii? Maana unaweza kujiona mjanja sana umegundua kitu kipya.

Kipengele cha kwanza swali lako as to whether women will enter the paradise or not, baadae will discuss about what they will get in reward. Now I will take you to Quran chapter 36 from ayah number 54, famously known as Surat Yaasin. Those named Yasin are after this Surah. It is believed to be the heart of the Quran.
So we shall start at Quran 36:54 as follows:-
54: This Day (Day of Resurrection), none will be wronged in anything, nor will you be requited anything except that which you used to do.
55: Verily, the dwellers of the Paradise, that Day, will be busy in joyful things.
56: They and their wives will be in pleasant shade, reclining on thrones.
57: They will have therein fruits (of all kinds) and all that they ask for.
58: Peace!" - a word (of salutation) from a Lord Most Merciful!
 
Siipingi quran or biblia ilaninachofikiria mm ni kua kwakua mwanaume ndio kiongozi wa family anatakiwa atende mema na hapa duniani ili ahera akafarijiwe(theoretically)hii itamsaidia kua nakizazi chema na maadili mema kwakua anajua kua malipo ahera,yeye anakua ndio km nguzo kuu inayoknhoza family ndio maana wanakuambia kukiwa na chembe ya ubaya inatafuna mpk uzao wako.
 
Wanawake ndio mahurain wa peponi..

Mungu atatupa wanawake 72(huu ndio ugonjwa wetu, wanaume woote)
Wanawake watakuwa mahurain(warembo haswaa, huu ni ugonjwa wa wanawake wooote)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…