Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Mtapewa wanaume wapya
 
Sasa mkuu Ile tamaa ya kuwa na wanawake wengi duniani unaenda nayo Mbinguni, hao wafanyakazi wanaokuhudumia wewe kwa ajali ya hiyo mizigo 72 wao wanapata nini, kwa hiyo ukisha kula mzigo unafikia mshindo hamu inaendelea kuwepo au inaisha na kama inaendelea kuwepo inamaana unaweza kuwa juu ya mzigo milele na milele bila kutoka [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Quote "All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.” EOQ.
 
😀😀😀😀tutakua single

Allah ana upendeleo kwenye kutoa privilege.

Wanawake mliotoka duniani mtabaki na nyeges zenu huku kaka zenu wanapewa mabikra wapigane miti
 
Allah kasema watapewa vidume 14 vya kuwafikisha.
Ila kaweka siri asiwatishe......maana hivyo vidume vimejaaliwa
 
Pointi ni ngono na mabikira????
Na niulize bila kiarabu maelezo hayanogi au???
 
Kwenye Qur'an mwanaume anawakilisha humanity pale ambapo mwanamke hajatajwa,mwanamke mwema atapata yaleyale ambayo mwanaume mwema atapata, Kama ilivyo kwa mwanaume muovu na mwanamke muovu
Kwahiyo na yeye atapewa vidume 72 vya kumtoa ashiki
 
Imani zingine bwana.... Upuuzi mtupu, sijui hili li- DINI lilitoka wapi.... Yanafukiria UCHI tu Dunia wanawake 4, bado hayatosheki yanataka 70 huko mbinguni wati huo hao 4 huku chini hayatoi huduma muhimu halafu eti 4+70?!!!! Pumbavu kabisa.....
 

Attachments

  • 5610400-6a603f7a2a5f8a91926842b7fa5ac9b3.mp4
    5 MB
Je Mungu wa Islam anasimamia mfumo dume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…