FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Sijasoma. Nifahamishe ulichoniitia.hujasoma comment niliyoquote mamiloo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijasoma. Nifahamishe ulichoniitia.hujasoma comment niliyoquote mamiloo?
Mtapewa wanaume wapyaAs-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Ahsante.
We mwanaume ama?Thebroker, post: 48270623, member: 383286 FaizaFoxy kuna mtu kashika pumbu nyati huku, njoo fastaaaa
Sasa mkuu Ile tamaa ya kuwa na wanawake wengi duniani unaenda nayo Mbinguni, hao wafanyakazi wanaokuhudumia wewe kwa ajali ya hiyo mizigo 72 wao wanapata nini, kwa hiyo ukisha kula mzigo unafikia mshindo hamu inaendelea kuwepo au inaisha na kama inaendelea kuwepo inamaana unaweza kuwa juu ya mzigo milele na milele bila kutoka [emoji3][emoji3][emoji3]Muanzisha uzi naomba nikujibu kwa kifupi sana naamini utaelewa.
Ni hivi,kwanza lazima uelewe kwamba Mungu alianza kumuumba mwanaume kwanza then kutokana na huy hyo mawanaume ndo mwanamke akafuatia.
Lakini baada ya uumbaji huo mwanaume ndyo mtu pekee aliyesimikwa uongozi/ukubwa ili kumuongoza/kumtawala mwanamke,sasa basi hapa Duniani wewe mwanaume umeoa mwanamke na mmeishi maisha ya hapa Duniani kwa kufuata sheria za Mungu na kufanya ibada vzr mpk Mwenyezi Mungu akawaridhia muwe katika watu wa peponi.
Sasa kule peponi kwa vile wewe mwanaume unastahili wanawake wengi(Hawa 72 ni idadi ya mfanya ibada wa kiwango cha chini sana) wanawke ambao atawamiliki kwenye eneo utakalopewa ndani ya pepo ambalo ni kama nchi yako ya pekeako na makasri/majumba mengi yaliyobeba hao wanawake pamoja na WAFANYAKAZI wafanyakazi ambao ni vijana wadogo na ni maalum kwa ajili ya kukutumikia wewe katika maisha ya huko peponi.
Ukumbuke kwamba maisha ya peponi ni jambo la milele na hii ni sababu nyingne kwann unapewa wake wengi ili usichoke na usikinahi....lakini pia kule peponi wewe hutakuwa wa kawaida,Mungu atakuumba upya na huyu mke wako ataumbwa upya isipokuwa sasa huyu mwanamke kwa vile alipitia mapambano ya ibada basi Mungu kwa uwezo wake atamfanya kuwa mwanamke MZURI ZAIDI ya wale wanawake mahur'layn na hao mahur'lain ni wanawake WAZURI kiasi ambacho kwa hapa Duniani hakuna cha kufananisha,sasa huyu mwanamke aliyetoka Duniani anapewa ubora huo wa UZURI, UTUKUFU na CHAGUO MAALUM kwasababu yeye kuna kazi ya ibada aliifanya kule Duniani na sasa huku anapewa tunu maalum kma tusema UMALKIA hv japo idadi hyo pamoja na ya wanawake wale wengine itakuwa chini yako wewe mfalme uwamiliki.
Kule peponi Kuna NGUVU maalum Mungu atakupatia wewe mwanaume ili uweze kuwatosheleza idadi yote ya wanawake utakayopewa na kila mwanamke unakaemiliki kule Mungu muumbaji atawatoharisha/Atawasafisha kwa maana hawatapata ile period zao za kila mwezi na hawatapata ujauzito,hawaendi haja ndogo wala kubwa na kubwa zaidi Mungu atawatoa watu wote CHUKI,FITNA,WIVU na UHASIDI katika nyoyo za watu wote watakaoingia peponi ikiwemo hao wanawake jambo ambalo pia
hawa wanawake watakaokuwa katika milki yako pia watakuwa WANAPENDANA SANA WAO KWA WAO na WATAKUWA WANAENJOY SANA KUKUHUDUMIA WEWE...Mungu atawaumba upya.
Sasa wale mnaosema kwamba pepo itakuwa uwanja wa ufuska...Ni hv ndg zangu,Mwanaume yeyote aliyekamilika Starehe yake kubwa ya kwanza ni Ngono tena ngono si kwa mwanamke mmoja,yan mwanaume aliyekamilika huwa anapenda pia kuwabadili badili hao wanawake,na hii ni NATURE,hata hapa Duniani hakuna Mwanaume anaridhika na mwabamke mmoja huo ndo ukweli,sasa kama wewe ni mwabaume afu unakasirika kuwa na wanawake wengi basi kaa ukijua utakuwa unashida kidogo ya kimaumbile japo ukienda peponi Mungu atakuumba upya(usijali)
Sasa kwa vile Mungu muumbaji anatujua vema ndo akaamua kutuumbia idadi kubwa ya wanawake wakiwa wanatofautiana UZURI NA UREMBO huko peponi.
Lakini pia mbali na hilo la ngono,Huko peponi Mungu ameandaa mito ya maji,mito ya maziwa,mito ya POMBE kwa watakaopenda kuinywa lakini pombe hyo huwezi kutoka akili ukaongea upuuzi kwa sababu peponi hakuna upuuzi,lakini pia kuna matunda, nyama za ndege na starehe mbali mbali zisizokatika.
Wanaosema peponi kwa ajili ya kuimba imba.....jamani hivi kma peponi ndo kuimba imba tu kila siku sasa raha ya hiyo pepo ipo wapi?
Pepo ni ulimwengu Mungu ameandaa watu wema kwenda kustarehe,kule hakuna tena ibada,ibada unatakiwa ufanye hapa sasahv Duniani,hayo mambo ya kuimba kule hakuna msiwakatishe watu tamaa,kule Mungu ataki umuimbie kule anataka wewe ule bata haswa,uenjoy utukufu wake kwa vile alivyokuandalia...Yan ukae unaimba imba afu ukishamaliza kuimba...yan hakuna kula,hakuna kunywa yan ni kuimba tuuu....jaman huo sio mpango wa Mungu,hyo ni mipango ya watu kuwakatisha tamaa ili uhisi kwamba nikifanya wema inamaana naenda kulipwa KUIMBA? hii hapana.
Pepo ni ulimwengu wa starehe,wewe kama akili yako haitaki hulazimishwi,lile jambo la kiimani na ndomaana watakaotunukiwa hyo pepo NI WALE WALIOAMINI.
Fanya sana ibada hapa sasahv,piga swala 5,funga Ramadhani,nenda mecca kama una uwezo lakini pia acha madhambi yote uliyokatazwa na tenda mema yote uliyoamrishwa...UKIFA TU PEPONI,na kwa taarifa tu ni kwamba zile starehe za mwanzo huwa zinaanzia pale kaburini then kule peponi utakabidhiwa starehe iliyokamilika
Una shida na jinsia yangu? unataka kunipa nn?We mwanaume ama?
peponi nitataka uwe kati ya mabikira 72 nitakao pewaSijasoma. Nifahamishe ulichoniitia.
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.
Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;
Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”
Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-
Quran 37:48-49:
And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.
“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
Shehe nae anafafanua hapa
Quote "All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.” EOQ.
😀😀😀😀tutakua single
View attachment 2811675
Humu wanasema hao nao watarudishiwa bikra zao kwani pepo za waislam zipo chini ya mapaja ya wanawake.
Hizo ni theory za kusadikika. Nafsi haihitaji tena kuzaliana kama mwili.
😂😂😂😂dahAllah ana upendeleo kwenye kutoa privilege.
Wanawake mliotoka duniani mtabaki na nyeges zenu huku kaka zenu wanapewa mabikra wapigane miti
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.
Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;
Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”
Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-
Quran 37:48-49:
And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.
“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
Shehe nae anafafanua hapa
Mtakuwa wake za wagalatia waliokataa kuoa wake wanne.😀😀😀😀tutakua single
Pointi ni ngono na mabikira????Kwanza kabisa Mola wako hamdhulumu mtu yoyote aliyefanya jitihada kwenye kufanya matendo mazuri, ipo hivyo kwa Wanaume na Wanawake wote watalipwa kwa wema wao....SO, WANAWAKE NAO WATAENDA ENJOY PEPONI KWA ENJOYMENTS TOFAUTI TOFAUTI MOLA WAO NDIYO ANAJUA ZAIDI.
Na ukipata nafasi pitia hizi Aya hapa tafadhali 👇🏽
Al-Ahzab 33:35
إِنَّ ٱلْمُسْلِمِينَ وَٱلْمُسْلِمَٰتِ وَٱلْمُؤْمِنِينَ وَٱلْمُؤْمِنَٰتِ وَٱلْقَٰنِتِينَ وَٱلْقَٰنِتَٰتِ وَٱلصَّٰدِقِينَ وَٱلصَّٰدِقَٰتِ وَٱلصَّٰبِرِينَ وَٱلصَّٰبِرَٰتِ وَٱلْخَٰشِعِينَ وَٱلْخَٰشِعَٰتِ وَٱلْمُتَصَدِّقِينَ وَٱلْمُتَصَدِّقَٰتِ وَٱلصَّٰٓئِمِينَ وَٱلصَّٰٓئِمَٰتِ وَٱلْحَٰفِظِينَ فُرُوجَهُمْ وَٱلْحَٰفِظَٰتِ وَٱلذَّٰكِرِينَ ٱللَّهَ كَثِيرًا وَٱلذَّٰكِرَٰتِ أَعَدَّ ٱللَّهُ لَهُم مَّغْفِرَةً وَأَجْرًا عَظِيمًا
Hakika Waislamu wanaume na Waislamu wanawake, na Waumini wanaume na Waumini wanawake, na wat'iifu wanaume na wat'iifu wanawake, na wasemao kweli wanaume na wanawake, na wanao subiri wanaume na wanawake, na wanyenyekevu wanaume na wanawake, na watoao sadaka wanaume na wanawake, na wanao funga wanaume na wanawake, na wanao jihifadhi tupu zao wanaume na wanawake, na wanao mdhukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi wanaume na wanawake, Mwenyezi Mungu amewaandalia msamaha na ujira mkubwa.
An-Nisa' 4:40
إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَظْلِمُ مِثْقَالَ ذَرَّةٍۖ وَإِن تَكُ حَسَنَةً يُضَٰعِفْهَا وَيُؤْتِ مِن لَّدُنْهُ أَجْرًا عَظِيمًا
Hakika Mwenyezi Mungu hadhulumu hata uzito wa chembe moja. Na ikiwa ni jambo jema basi Yeye hulizidisha na hutoa kutoka kwake malipo makubwa.
Kwahiyo na yeye atapewa vidume 72 vya kumtoa ashikiKwenye Qur'an mwanaume anawakilisha humanity pale ambapo mwanamke hajatajwa,mwanamke mwema atapata yaleyale ambayo mwanaume mwema atapata, Kama ilivyo kwa mwanaume muovu na mwanamke muovu
Imani zingine bwana.... Upuuzi mtupu, sijui hili li- DINI lilitoka wapi.... Yanafukiria UCHI tu Dunia wanawake 4, bado hayatosheki yanataka 70 huko mbinguni wati huo hao 4 huku chini hayatoi huduma muhimu halafu eti 4+70?!!!! Pumbavu kabisa.....As-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Ahsante.
Je Mungu wa Islam anasimamia mfumo dume?As-salamu alaykum ndugu zangu.