professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Tuta kunywa pombe pamoja na Yesu hukoMkimbilie Yesu wa msalabani, yeye amekuahidia mara 100 hapa na baadae uzima wa milele. Achana na mafundisho potofu ya kwenda kunywa pombe kwenye mito ya ulevi, wanaume zenu watapewa bikra 72 ninyi mkiwaangalia tu. Mbona Mungu hana Upendeleo, mbona Mungu hana ubaguzi?. Peponi hakuna kuoa wala kuolewa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app